Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Jul 8, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika kukiri JF inawafanya wengi wasilale speaker hii paschal mayala imetumika ku amplifayi kuwa JF wamejaa walalamishi msipinge tu. Katika mtazamo huu anaingia kundi moja la yule mama wa mikocheni kuponda JF
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  hana maana huyu pascal mayala, manake tusiposema hao watendaji wa serikali wanapata wapi challenge?
   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nimemsikia vilivyo na anastahili pongezi kwa kuzidi kuinadi JF live ,alichosema ni kawaida kuwa hapa JF wale madhaifu wa CDM wanaona wale makobe waliomo bungeni wanaonewa ,jambo ambalo sio kweli ,makobe mnasema mpaka mnatolewa nje ,yaani huwa mnashika kasi mpaka mnashindwa kueleweka.
   
 4. S

  SEBM JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 496
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hivi yuko CCM au CCK huyu bwana?
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  namuungamkono
   
 6. p

  politiki JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mafanikio anayoyasema mayala ni kama yale ya kuwa Tanzania inaongoza katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara kwa kuuza ardhi yake zaidi ya hekta milioni moja kwa wageni nafikiri hayo ndio mafanikio ya serikali anayotaka tuyaone.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,520
  Likes Received: 81,875
  Trophy Points: 280

  Aje hapa ili aweke mafanikio yoyote kuanzia 2005 hadi sasa ndani ya hii Serikali DHAIFU ambayo yanahitaji kupigiwa makofi na vigelegele
   
 8. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Kwanini asitolee Malalamiko yake hapa JF hadi akatolee huko ,inamaana anaingiaga humu as a Guest.
  aaache Ubweg.e
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hii nchi tumejijengea tabia ya ukomunisti manake wakomunisti hawapendi kamwe kuwa challenged. Watataka kusifiwa hata kwa maovu ya wazi. Namshukuru huyu mzee kijana kwa kuzidi kuipaisha JF! Ila aelewe kuwa wengi hapa JF siyo mamluki!!!!
   
 10. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Mara ya mwisho mimi kumwona alikuja hapa kukanusha kama yeye sio shoga, tena alitoa maelezo marefu sana!!
   
 11. n

  nya2nya2 Senior Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani yy ni nani?
   
 12. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  anaingiaga na jina la pasco,afu anajidai sio yeye mayalla wkt watu walimletea hadi evidence kuwa pasco na paschal mayalla ni mtu mmoja.:sleepy::sleepy::sleepy::redface::redface:
   
 13. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu mganga njaa ndiye mnafungulia hadi thread humu? Kweli mmekosa hoja.


  Pasco anajikomba kwa serikali ya JK kwani ananufaika nayo kwa mengi
   
 14. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Mmmmhhh! I had same feeling.
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pascal Mayalla naona anaangalia mambo nusu nusu. Sasa hivi kila mtu analalamika, kuanzia waziri mkuu (Jairo gate) hadi wabunge. Arejee hansard ndio ataona ni jinsi gani wawakilishi wa wananchi wanalalamika, na wengi wao wanatoka chama kinachounda serikali. Kwa kifupi, mambo yanaenda kinyume na matarajio ya wananchi na ndio sababu watu wanalalamika.
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,749
  Trophy Points: 280
  Mbona ana semea pembeni aje aseme hapa ili tujue hayo mafanikio ana yoyasema!
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Naanza kabla pasco hajaja:

  Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.

  Kikwete = 11,154 KM of paved roads.

  Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,471
  Trophy Points: 280
  keshachukua bahasha toka kwa Lowasa
   
 19. n

  nhassall Senior Member

  #19
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  so what? na msongamano wa dar je haupo kwenye hansard?
   
 20. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #20
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Pasco katoa thread hapo juu kabisa na inachangiwa kila siku halafu mnataka kumkosoa, acheni hizo kwani katika member 82'858 wa leo wa JF siwaoni wengi huenda wameamua kuwa wasomaji tu, kuliko kuwa wabishanaji wa mambo ya kisiasa.
  ni sawa kabisa kuna majukwaa mengine yana Amani lakini baadhi kila saa ni ulalamishi wa kitoto tu kwa vile mtu ana laptop, mabile au modem basi atazusha la kuzusha amalize hasira zake
  JF mnaliharibu jukwaa
   
Loading...