Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiwaza nini?

Mishenyi

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
464
748
Kwa jinsi alivyokuwa amejijengea kuogopwa, kusifiwa, kuabudiwa, kusujudiwa ni wazi alikuwa anawaza kuwa Rais kwa vipindi zaidi ya viwili vile vilivyowekwa kikatiba.

Siku moja nikiwa na jamaa yangu mmoja tulikuwa tunamuangalia Magufuli kwenye runinga akiwa nafikiri Dodoma, alikuwa kwenye ibada kanisani kwa jinsi alivyokuwa anasujudiwa na viongozi mle kanisani, unganisha na Matukio ya akina agrey Mwanri na viongozi wengine wa dini walivyokuwa wanamtukuza kiumbe yule.

Siku ile nkamwambia jamaa yangu maneno yafuatayo" Huyu mtu atakufa mungu hawezi kukubali kiumbe chake alichokiumba kipewe sifa anazostahili kupewa yeye muumba" yule jamaa yangu nae uzuri alikuwa mtu wa hofu japo ni mtu nyeti serikalini akasema hata mimi hii tabia inanipa mashaka sana (binadamu kutukuzwa )

Tulimalizia soda zetu tukaagana, siku ambayo msiba unatangazwa rasmi jamaa yangu alinipigia cm akanambia unakumbuka yale maneno yetu? Nkasema ndiyak akasema yametimia, nkamuuliza yapi? Akasema Magu, alipenda kumuita Magu. Amefariki nilishtuka kdg lkn nkasema wacha aende tu!

Nawatakieni kheri ya mwaka mpya!
 
Mniambie kama mlilipa zile soda zenu mlizokunywa niwarudishie fedha zenu na riba juu.
 
Vyovyote mtu unaweza kutafsiri,

Ubaya wake wote ulilenga mazuri ya badaye!

Vyeti feki ni ubaya?
Wala rushwa nao?
Vigeugeu na wapiga dili wa mabeberu je?
Uhuni wa mkiru nao?
Mafisadi kudhibitiwa napo ni ubaya?
Kudhibiti wafungulia maji mabwawa ya umeme je?
Kuwakata midomo wafaidisha mabeberu na kelele za miga je?

Okay alikuwa mbaya, basi boresheni maisha ya wananchi sasa maana hayupo sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom