Kwa tuhuma nzito alizomtuhumu Rais Samia, Lissu hawezi kurudi Tanzania

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,168
Ameshaweka wazi kuwa serikali ya Ccm chini ya hayati Magufuli ilitaka kumuua hadharani. Lakini pia amedai kuwa Mama samia kama rais wa JMT hajafanya jitihada zozote kuhakikisha kuwa anafanya uchunguzi juu ya waliotaka kumuua.

Hizi ni tuhuma nzito sana na kwa picha ilivyo ni wazi kuwa ameshaanza kuwakoroga watawala wa CCM na hii ni wazi kuwa hawezi kurudi.
 
Kuongoza Africa ngumu sana, Mama toka amechukua nchi yuko underpressure ya wanasiasa wakiwa na madai lukuki lakini lengo lao kuu ni kumtoa kwenye reli ili wao wapate kupewa dola....

Watu wako busy na siasa, huku Taifa linahitaji nguvu kazi, Taifa linahitaji uzarishaji mali wa kutosha nk.....Taifa hilo hilo liko busy kumuweka Rais busy na siasa na kuacha mambo mengine ya msingi....ukiwasikiliza hawa wanasiasa wako busy na siasa kuliko kumobilize raia juu ya yale ya msingi...
 
Ameshaweka wazi kuwa serikali ya Ccm chini ya hayati Magufuli ilitaka kumuua hadharani. Lakini pia amedai kuwa Mama samia kama rais wa JMT hajafanya jitihada zozote kuhakikisha kuwa anafanya uchunguzi juu ya waliotaka kumuua.

Hizi ni tuhuma nzito sana na kwa picha ilivyo ni wazi kuwa ameshaanza kuwakoroga watawala wa Ccm na hii ni wazi kuwa hawezi kurudi.
Sasa,hapo kizito na kipya ni kipi ambacho TAML hajawahi kukiongea?Halafu kwani ni uongo?Unaogopa sana "the Messiah" kurudi Tanzania?Unamzuia kwa maneno?Koplo sugu una vibweka sana!😂😂😂😂
 
Ameshaweka wazi kuwa serikali ya Ccm chini ya hayati Magufuli ilitaka kumuua hadharani. Lakini pia amedai kuwa Mama samia kama rais wa JMT hajafanya jitihada zozote kuhakikisha kuwa anafanya uchunguzi juu ya waliotaka kumuua.

Hizi ni tuhuma nzito sana na kwa picha ilivyo ni wazi kuwa ameshaanza kuwakoroga watawala wa Ccm na hii ni wazi kuwa hawezi kurudi.
Una hanya Kimbunga kinakuja jombaa....
 
Kuongoza Africa ngumu sana, Mama toka amechukua nchi yuko underpressure ya wanasiasa wakiwa na madai lukuki lakini lengo lao kuu ni kumtoa kwenye reli ili wao wapate kupewa dola...
Uongo
 
Ameshaweka wazi kuwa serikali ya Ccm chini ya hayati Magufuli ilitaka kumuua hadharani. Lakini pia amedai kuwa Mama samia kama rais wa JMT hajafanya jitihada zozote kuhakikisha kuwa anafanya uchunguzi juu ya waliotaka kumuua.

Hizi ni tuhuma nzito sana na kwa picha ilivyo ni wazi kuwa ameshaanza kuwakoroga watawala wa Ccm na hii ni wazi kuwa hawezi kurudi.
Koplo acha woga
 
Anakuja kuupiga mwingi mpaka huyo m'mama wenu apoteze ramani
 
Kuongoza Africa ngumu sana, Mama toka amechukua nchi yuko underpressure ya wanasiasa wakiwa na madai lukuki lakini lengo lao kuu ni kumtoa kwenye reli ili wao wapate kupewa dola....

Watu wako busy na siasa, huku Taifa linahitaji nguvu kazi, Taifa linahitaji uzarishaji mali wa kutosha nk.....Taifa hilo hilo liko busy kumuweka Rais busy na siasa na kuacha mambo mengine ya msingi....ukiwasikiliza hawa wanasiasa wako busy na siasa kuliko kumobilize raia juu ya yale ya msingi...
Mmelikoroga sasa mjiandae kulinywa.
 
Ameshaweka wazi kuwa serikali ya Ccm chini ya hayati Magufuli ilitaka kumuua hadharani. Lakini pia amedai kuwa Mama samia kama rais wa JMT hajafanya jitihada zozote kuhakikisha kuwa anafanya uchunguzi juu ya waliotaka kumuua.

Hizi ni tuhuma nzito sana na kwa picha ilivyo ni wazi kuwa ameshaanza kuwakoroga watawala wa Ccm na hii ni wazi kuwa
Humjui tundu lissu yule hanaga mshipa wa woga
 
Kuongoza Africa ngumu sana, Mama toka amechukua nchi yuko underpressure ya wanasiasa wakiwa na madai lukuki lakini lengo lao kuu ni kumtoa kwenye reli ili wao wapate kupewa dola..
Kuna dhambi yoyote watu wakitaka kumuondoa kwenye nafasi yake kwa Njia halali? au Unadhani ana hati miliki
 
Ameshaweka wazi kuwa serikali ya Ccm chini ya hayati Magufuli ilitaka kumuua hadharani. Lakini pia amedai kuwa Mama samia kama rais wa JMT hajafanya jitihada zozote kuhakikisha kuwa anafanya uchunguzi juu ya waliotaka kumuua.

Hizi ni tuhuma nzito sana na kwa picha ilivyo ni wazi kuwa ameshaanza kuwakoroga watawala wa Ccm na hii ni wazi kuwa hawezi kurudi.
Kwani amefanya jitihada gani huyu mama? Hizo sio tuhuma ni ukweli.

Akili yako ndogo sana mpaka unaboa
 
Kuongoza Africa ngumu sana, Mama toka amechukua nchi yuko underpressure ya wanasiasa wakiwa na madai lukuki lakini lengo lao kuu ni kumtoa kwenye reli ili wao wapate kupewa dola...
Kwani siasa ni nini?

Hujui ata maana ya siasa!🚮🚮

Siasa ni kila kitu kinachohusu mgawanyo na maendeleo ya nchi,hujui kuwa ata Rais ni mwanasiasa na amewekwa kisiasa,sasa unapotaka asihusishwe na siasa basi awe mwanasayansi wa anga za juu na aache siasa...unaonekana hauna ufahamu wowote kichwani mwako mpaka aibu yaan
 
Tuhuma nzito? Uzito wake uko wapi hapo?
Tukio la kupigwa mchana
Na aliyeongea alichotendewa tuhuma nzito ni tukio lililotokea bila majibu.
TL anawakumbusha kwa kauli nzito kwakuwa ndiye aliyapata maumivu
 
Kuongoza Africa ngumu sana, Mama toka amechukua nchi yuko underpressure ya wanasiasa wakiwa na madai lukuki lakini lengo lao kuu ni kumtoa kwenye reli ili wao wapate kupewa dola....

Watu wako busy na siasa, huku Taifa linahitaji nguvu kazi, Taifa linahitaji uzarishaji mali wa kutosha nk.....Taifa hilo hilo liko busy kumuweka Rais busy na siasa na kuacha mambo mengine ya msingi....ukiwasikiliza hawa wanasiasa wako busy na siasa kuliko kumobilize raia juu ya yale ya msingi...
Watu wanawaza matumbo yao tu hamna mwenye mema na hii nchi
 
Back
Top Bottom