Udhaifu na unafiki wa siasa za Tanzania

KHM 1995

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
326
454
Siasa, Dini, harakati za maisha, ni vigumu sana kuvitenganisha.

Siasa na dini, hivi ni vitu viwili tofauti lakini viko katika package moja, ni ukweluliomc mchungu siasa na dini zikitumika vibaya mpasuko mkubwa wa kitaifa utatokea, naomba niachane na hapa, naomba nizungumzie mienendo ya Siasa ya taifa la Tanzania

Ukweli uliomchungu siasa ya nchi hii imejaa usaliti, unafiki, chuki, majivuno, ujinga, wehu, upumbafu, ubinafsi na kushindwa kutunza akiba ya maneno

Muda ni mwalimu mzuri wa kila tukio.


Itaendelea.
 
Hold on....
Minafikiri, hatukuwahi kudhania kama ipo siku tutafiwa madarakani.
Na......
Ningumu kwa mtu mweusi kukubaliana na utawala wa mwanamke.
 
Back
Top Bottom