Zitto: Serikali ya Magufuli imekopa zaidi ya tril 3 toka uswisi kufadhiri SGR na Stiglers yenye riba kubwa

"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Who cares, provided that the money goes to the project....
 
"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Ndio maana upinzani umekufa hakuna hoja
 
Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Hizi ni takataka za akili kabisa, sasa mkopo wa mtu binafsi unawaathiri vipi Wananchi!. Mtu Kama huyu unaweza kukuta ni baba wa familia. Inasikitisha sana. Hata Kama unalipwa, ni lazima ujitafakari kwa upuuzi unaoandika humu, vinginevyo hata huyo anayekulipa atakuchoka
 
Back
Top Bottom