Dkt. Charles Kimei: Bajeti ya Kwanza ya Rais Samia ni ya kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023

Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla.

Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023..

Wale watoa shutuma za tozo mtakuwa mumeipata hii.
Hata bajeti ya 2022/2023 ikibuma, mzigo atapewa marehemu.
Ni ajabu tozo zilizopitishwa June 2021, eti ni za marehemu.
Kujikomba kunazidi sasa. Mbona makusanyo ya December 2021, yaliyovunja rekodi mmesema ni ya Samia, why yenyewe sio ya marehemu. Acheni " upunguani"
 
Kwanza usipotoshe hakuna bajeti iliyobuma
 
Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla.

Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023..

Wale watoa shutuma za tozo mtakuwa mumeipata hii.
Magu alikuwa ni k.. Sijui ni....
 
Msitutoe kwenye reli. Hivi Mwigilu, aliteuliwa na Mama au Mwenda kuzimu??
 
Kwa hiyo hata pesa za mkopo wa Corona ziliombwa na serikali ya awamu ya tano ya Magufuli na sio awamu ya Sita ya Samia? Yaani Magufuli alivyokuwa kinyume na harakati za Covid duniani halafu aende kuomba zile pesa zenye masharti haya?

Sote tunajua pesa za mkopo waa Covid zilianza kuombwa kabla ya ujio wa Tozo ama zote zilienda sambamba.

Yaani maCCM ni majinga sana halafu yanalazimisha sote tuwe wajinga
 
Kwanini bajeti huwa ni ya MTU? Nibajeti ya Sa100 ama ya serikali? Taifa linaongozwa ajiskiavyo MTU nabunge linagonga meza... Rubish!!!
 
Ndio mbona zigo la tozo anabebeshwa Samia na Mwigulu na kumuacha Mwendazake na Mpango?

Katika mambo ambayo Gavana wa BOT[ Benno Ndullu] alimshauri Jiwe ni athari za TOZO kwenye miamala kwa uchumi wa nchi; kuweka TOZO kenye miamala ya simu alisema haisaidii ukuaji wa uchumi kwasababu inawatenga wananchi wengi hasa wa vijijini kwenye ushiriki wa matumizi ya fedha [FINANCIAL INCLUSION} !! Mpango alikuwepo wakati huo kama waziri wa fedha na alikubaliana na hoja za Mwalimu wake [ Ndullu] lakini baada ya Ndullu kufariki ndio ujinga huu wa TOZO ukaanzishwa tena na athari zake kwa uchumi wa chi zinaonekana!!
 
Back
Top Bottom