Nilimsikiliza Mzee Wasira amezungumzia mengi sana hasahasa yanayoendelea.
Ila nilichojifunza raisi akiwa madarakani anaogopwa sana, huenda ni kutokana na mamlaka makubwa aliyonayo.
Mzee Wasira...
Kwasababu upinzani haupo bungeni spika amejibadilisha na kuwa mpinzani fake. Tatizo lake wale wabunge wake wa upinzani hata yeye hawamuungi mkono kwasababu hawana mapenzi naye zaidi ya pesa...
Eti jamani, hasa nyie mlio kwenye system hebu tupeni mwanga kidogo; ni kwanini mikataba inayoingia serikali huwa inafanywa kiwa siri kiasi mwananchi wa kawaida hapaswi kabisa kujua.
Mathalani hii...
Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo...
Wiki hii baada ya speech ya Spika naona makada wa CCM,TUndu Lisu pamoja na James Mbatia nao walitoa yao ya moyoni.
1. Makada wa CCM wanasema mama amekopa just 1.3tril ivyo bado tunakopesheka wapo...
Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi!
Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?!
Kwamba bila kodi ya wananchi...
Ndugai kipindi cha Magufuli nadhani alihamia kabisa Ikulu maana hakuna shughuli alikosa na kutoa hotuba as if naye ni kiongozi wa serikali
Siku za karibuni haonekani shughuli za Ikulu, hata kabla...
Ikumbukwe ipo tofauti kubwa kati ya Chadema na mashabiki mitandaoni.
Ni muhimu kukawa na focus ya hoja ipi inamhusu nani katika wawili hao.
Kumekuwa na maangalizo mengi ambapo kwa hakika Chadema...
"Nawashukuru wenyeviti wa CCM kwa kusimama na kutetea mkopo ulioleta maendeleo kwenu. Walipotokea wakuhoji mlisimama mkajibu, mkijua kwamba kinachofanyika ni utekelezaji wa ilani. Sasa mna mambo...
Hii tabia ya kusimamisha mabasi kabla ya kutoka manyoni ukiwa unatoka Dodoma mpaka yafike 15 halafu mna aescort kwa kilometa kadhaa then wanaachiwa huko wapambanie msubiri ajali mbaya ya kugongana...
Rais Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC), Dkt. Saleh Yussuf Mnemo leo Januari 03, 2022
Dkt. Mnemo aliteuliwa kuhudumu nafasi hiyo Mwezi Mei 2021
Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi...
Natumah mpo salama, kwanza niwatakie kheri ya mwaka mpya wote niliowataja hapo juu.
Niende kwenye hoja,Taifa la Tanzania Nina imani mtanikosoa, kama sitokuwa sawa ila katika tawala hasa tawala za...
Nachojua ayubu na wote walio nyuma au mbele yake hawatakubali. Nahivi wanajua bimkubwa anachungulia mitandaoni sana ukiwemo hapa Jf tujiandae kupokea wageni lkn wenyeji sana hapa.
Kama sio kwa...
Unaweza ukamuona PM Majaliwa kama mtu ambaye hana muelekeo kisiasa, au hana nguvu sana kama zinavyohitajika ktk nchi hii, lakini kwa mtazamo wangu ktk nafasi yake ya PM, ameweza kuwa mtu ambaye...
Wadau kumekuwa na nguvu kubwa inayotumiwa na watawala kupitia jeshi la polisi kuwakamata wananchi wanaodai katiba mpya.
Najiuliza kama wananchi walishirikishwa kutoa maoni na mapendekezo yao...
Ndugu Mheshimiwa Rais, Mama Samia, najua unasomoga humu, au kama husomagi najua wapo wanaokusomeaga comments za humu za watapika nyongo.
Niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari hapo juu...
Ujue Wa Africa sijui aliye turoga amefia wapi, kwani ni lazima tuige wanachofanya wazungu?
Haya mambo ya usawa yanatuchelewesha sana, tutaendelea kuwa hivi mpaka siku tutakayo tambua kinacho mata...
Kwanza kabisa walaumiwe walioliharibu Bunge...hapa list ni ndefu ila Spika Ndugai hawezi kukwepa hizi lawama, pamoja na Polepole, Bashiru, Mwendazake, n.k
Hawa wamesababisha majadiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.