Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka 2025 ni mwisho wa Ndugai na Majaliwa katika kugombea Ubunge. Ndugai u-spika wake wa miaka 10 unakoma 2025. Majaliwa uWaziri Mkuu wake mwisho 2025. Hakuna cheo kingine kikubwa kwao zaidi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja kwa moja niende kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyosema Kumekuwa na sintofahamu juu ya kauli iliyotolewa na mheshimiwa spika, bwana Job Ndugai hivi karibuni na hata yeye mwenyewe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Napongeza kauli ya Mh. Spika, imetoka sehemu nyeti sana na kwa mtu asiyetegemewa kusema aliyoyasema, lakini ameyasema mimi kwangu ni ushujaa na upendo kama yamesemwa katika jicho pana la tahadhari...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Bunge ni sauti ya wananchi, kama sauti ya wananchi kupitia spika wao inahoji juu ya mkopo ambao unakopwa kwa manufaa ya wachache wala sio wananchi alafu inabagazwa namna hii basi katiba yetu ina...
0 Reactions
7 Replies
639 Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka"...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Hii tabia ya Ndugai kumsemea Magufuli kwa watu anaokuwa na bifu nao inakera sana. Mtu yeyote mwenye akili anaelewa wazi hii ni saikoloji Ndugai anatumia kuchochea moto kati ya Magufuli na watu...
11 Reactions
72 Replies
7K Views
Wapinzani walipomwambia Rais avunje Baraza ateue na kuapisha upya niliikuwa mmoja wa waliodhani ni ushauri batili. Wapinzani wakasema kuna watu walitaka Mhe. Rais asiapishwe nikawapuuza nakudhani...
1 Reactions
5 Replies
678 Views
Tangu bunge ili lianze baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 chini ya Spika wa bunge Mh.Anne Makinda,tumeshuhudia vituko kutoka kwa baadhi ya wabunge kwa upande mwingine ubabe wa spika na manaibu wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa Ni mtazamo wangu tu
0 Reactions
8 Replies
964 Views
Polepole anawakilisha kundi la watu ndani ya CCM ambao hawataki na wasingependa kusikia Rais Samia Suluhu Hassan akifanya vizuri na kuipaisha awamu ya Tano. Polepole na wenzake wasingependa kuona...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Siku zote kilio chetu ni kuona Bunge linaisimamia vyema Serikali. Lakini inasikitisha sana chama cha upinzani kinapotoa baraka Serikali isiweze kuhojiwa na bunge. CHADEMA kimedhihirisha ni chama...
12 Reactions
78 Replies
4K Views
Ninaendelea kuamini na kuwa vyombo vya habari vya magharibi vilikuwa vinalengo la kumchafua Rais wa wanyonge. Haiwekani, kwa visang vinavyoendelea Tanzania habari zetu zisitangazwe kweli kweli...
7 Reactions
7 Replies
669 Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Katiba mpya ndio mjadala mkubwa kwa sasa Lakini kama haya mambo ndio yenye gumzo kubwa basi uwepo wa katiba mpya ni swala la lazima na sio...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
"Tumekumbana na changamoto ya kupanda kwa bei za vifaa vya ujenzi. Nondo iliyokuwa inauzwa shilingi 22,000 imepanda hadi shilingi 28,000. Saruji imepanda kutoka shilingi 15,000 mpaka shilingi...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa siku kadhaa sasa fukuto la kutofautiana kimtazamo na maneno baina ya viongozi wakuu wa nchi umezidi kuchukia sura mpya siku adi siku, je ni vita ya panzi furaha kwa kinguru? Ipi faida ya...
0 Reactions
3 Replies
549 Views
Serikali kupitia Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta. Taarifa iliyotolewa leo na EWURA inaeleza kwamba, Ikilinganishwa na bei za mwezi...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu mapema mwezi jana mchungaji na mtumishi wa Mungu Askofu Josephat Gwajima alitangaza masaa 72 ya maombi kwa ajili ya kumuondoa Amalek katika nchi. Kwa wengi hatukuweza kumjua na mpaka sasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwako Mh Rais Samia Suluhu Hassan, Slaam Mh Rais, NAKUSALIMIA KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Binafsi nikupongeze kwa kazi kubwa sana na ya kipekee sana ya kusukuma mbele gurudumu la...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
To declare my interest mi siyo mwanasiasa ila nafuatilia siasa hasa vituko vya JOB pale mjengoni. Tangu awamu ya tano ilivyopita ambayo ilijaa KUSIFU NA KUABUDU kwingi ili upate kacheo,Sasa...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine. Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze...
0 Reactions
8 Replies
963 Views
Back
Top Bottom