Chadema kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,696
218,215
Baraza_la_Vijana_%40ChademaTz_(BAVICHA)_kesho_Januari_04%2C_2022%2C_saa_tano_kamili_asubuhi_li...jpg


Shughuli hii Muhimu sana itafanyika Kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa , tarehe 4/1/2022 kuanzia saa 5 Asubuhi .

Wote mnakaribishwa .

MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
 
Tuna almost only two years kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa. Watu wanademka kwa midundo ya CCM. Wakija situka imetoka ikirudi pancha.
 
Kinondoni ni "nje ya jiji la Dar es Salaam"?
Mkuu umekaa sana Nje hadi yanayoendelea Tanzania huyajui , Ni Hivi , Magufuli kwa akili ambayo haifahamiki alikoitoa alivunja Jiji la DSM na aliamua kwamba Ilala Pekee ndio iwe jiji , kwamba Jiji liwe Chanika , Pugu kajiungeni , ukonga , Buguruni kwa Mnyamani na majirani zake , Oysterbay , Mbezi Beach , Kinondoni , Ubungo , Masaki , Temeke ziwe NJE YA JIJI .

Aliamua haya yote huku akipigiwa makofi na Mawaziri , wabunge na madiwani , sasa ili sisi wengine ili Tusifungwe jela au kutekwa hatuna budi kutii maagizo ya Mkubwa .
 
Back
Top Bottom