Kichambo na kuchambwa kote kule bado mtu hajatangaza kujiuzuru, Safi sana wana ccm jana kwa jinsi mlivyomchamba bwana Ndugai, Hata Mimi hapa JF niliwahi shiriki kumchamba bwana Ndugai wakati...
Kabla ya kuanzisha vita yoyote na mtanzania ambae ni raisi wa nchi inakupasa ujue unapambana na nani,
1) Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, unatakiwa kutambua kua unapopambana na...
Bila shaka, malumbano kati ya speaker na rais Samia imeonyesha wazi kwamba, hakuna uhuru wa mihimili yetu ya uongozi.
Mahakama haina uhuru wake, Bunge halina uhuru wake na Speaker pia...
Ukimsikiliza kwa makini Chief Hangaya utabaini kwamba tamanio lake kubwa ni CCM kuja kumpitisha kuwa mgombea wake mwaka 2025 bila kupingwa, kama ilivyo kwa marais wengine wanaogombea term ya pili...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri
Wahenga walisema pembe la ng'ombe halifichiki na hii ndio maana yake
Nanukuu
""Kuna mtu alikuja mara baada ya mimi kuapishwa na akanipa pongezi pamoja na pole...
Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni, leo wameshiriki uzinduzi wa Shule ya awali na msingi Museveni iliyojengwa katika kijiji cha Nyabilezi, Chato...
Raisi ameanza kuamini tuliyokuwa tunamwambia kwamba asiwaamini wote wanao mzunguka. Lakini vilevile amegundua kuna watu walikuwa wana mfitini na kuwaelekeza upinzani kuhusu kukamatwa kwa Mbowe na...
Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa.
Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma...
Ngoja niweke ushabiki na chuki zangu pembeni dhidi ya Ndugai, katika hili la sasa la Rais Samia kumfokea, kumdhihaki, kumbeza, kumnanga na kumzodoa hadharani Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai...
Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika.
Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea...
Spka job Ndugai amesema kuwa wamekwisha mlipa Tundu Lissu ,aliyekuwa mbunge stahiki zake zote
Ameyasema hayo Leo akiwa bungen Dodoma
----
Wakati akitoa mapungufu ya hotuba ya kambi rasmi ya...
Spika wa Bunge la JMT mh Jobu Ndugai leo jioni hii akiahirisha Bunge baada ya kupitishwa kwa bajeti ya ofisi ya waziri mkuu amemjibu mh Lissu.
Ameanza kwa kutaja kuwa ameona malalamiko ya LISSU...
Spika wa Bunge wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kauli alizotoa juu ya habari ya mikopo ambayo serikali inakopa kauli ambazo ziliibua hisia tofauti kiasi ambacho aliona si...
Walidhani wanaweza kutumia wingi wao kila idara na bungeni kutingisha gogo. Lkn wamekumbana na kisiki cha Zanzibar kikiwa kinalindwa na katiba ya nchi na chama. Wanaanzia wapi kuukata mpingo...
Hii kauli imenifikirisha sana Waswahili wana msemo wao " kikulacho ki nguoni mwako"
Wanaweza kukuaminisha Mbowe ndiye tatizo kumbe wana lao jambo binadamu siyo watu kwa kweli.
Leo nimemuelewa...
DVI: KAMPUNI HEWA INAYOJIPATIA MABILIONI AZAM MEDIA, IMETUMIA JINA LA AZAM MEDIA NA KUCHOTA MABILIONI ZBC KINYUME CHA SHERIA
Ni kampuni ya mfukoni iliyosajiri jina DUBAI, UAE. Inamilikiwa na...
Wabunge wajulikanao kama wasio na chama chochote wanalindwa na Job Ndugai Bungeni bila kufuata katiba za nchi
Aliwaapisha kinguvu Halima Mdee na wenzake kumi na nane gereji
Tulishuhudia watu...
Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche.
Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani...
Kutokana na kauli ya wazi ya Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
Ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi...
Nasema haya yote kutokana na mienendo yake mbalimbali na matatizo yanayomkuta huyu Spika wa bunge hasa toka afariki JPM. Nadiriki Kusema anachukiwa na watu tena wengi kwa sababu, Huyu ni Spika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.