Rais Samia: Niliambiwa watakaokuangusha ni hawa hawa KIJANI wala siyo Wapinzani!

N
Hii kauli imenifikirisha sana Waswahili wana msemo wao " kikulacho ki nguoni mwako"

Wanaweza kukuaminisha Mbowe ndiye tatizo kumbe wana lao jambo binadamu siyo watu kwa kweli.

Leo nimemuelewa sana mh Rais Samia!

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia.
Ndugai ajiuzuru mara moja
 
Mama ni next level. Wapige chini wote wanaokuangusha.

Kwanza Toka umeingia madarakani nchi imetulia.

Ukurupukaji hakuna vitisho hakuna mauwaji hakuna
 
Piga chini wote. Vunja serikali unda upya. Waziri Mkuu mpya na Mawaziri wanaoendana na wewe. Nguo ya kuazima haisitiri ........ Pia viongozi wa CCM Mkoa na Wilaya. Wakuu wa Mikoa na Wilaya. Wakuu wa Taasisi. Makatibu Wakuu.
 
Hii kauli imenifikirisha sana Waswahili wana msemo wao " kikulacho ki nguoni mwako"

Wanaweza kukuaminisha Mbowe ndiye tatizo kumbe wana lao jambo binadamu siyo watu kwa kweli.

Leo nimemuelewa sana mh Rais Samia!

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia.

Ni kweli toka mwanzoni mwa maisha yake ya kisiasa, Mh. Samia Suluhu Hassan alikwisha sema anaguswa na namna ya uzalendo wa kweli jinsi wapinzani wanavyo wakilisa hoja za matamanio ya wananchi tofauti na ndumakuwili waliovaa mashati ya kijani wa CCM:


17 Feb 2020
Samia Suluhu : "Napenda mawazo ya wapinzani, huwa wanajenga hoja vizuri, walini 'inspire' niingie siasa"

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefunguka kuhusiana na historia ya maisha yake ambapo ameeleza siri ya mafanikio na chanzo kilichomvutia kuingia kwenye siasa. Samia Suluhu anaona hoja za upinzani ni moto, zimejaa mantiki kuliko za mawaziri wa serikali ya CCM , hivyo walinivutia / inspire, mimi ni activist ... kuingia siasani baada ya kuona majibu na hoja za upande wetu (CCM) hazina uhalisia na hazijibu maswali ya wananchi ....

 
Kwa Kauli hii ya Rais Samia Suluhu Hasani tutegemee ukweli wote kuhusu Kesi ya Mbowe?

Rais ameujua ukweli sasa kuwa wanaomkwamisha ni wanaccm wenzake na sio wapinzani.

Hii ni kinyume na mawazo na imani aliyokuwa nayo Hayati Dr John Pombe Magufuli aliyeamini kuwa Wapinzani wanatuchelewesha sana kwenye kuleta maendeleo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom