Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sakata la kurushiana maneno kati ya wakuu wa mihimili linaloendelea linatoa funzo kuhusu mambo yafuatayo. 1. Madaraka makubwa aliyonayo Rais - Vyama pinzani waliteswa na wanaendelea kuteswa na...
4 Reactions
11 Replies
859 Views
"Kufafanua kauli si kubadili kauli" Hii imetokana na Spika Ndugai kumuomba msamaha Rais. Ndugai ameombaje msamaha ikiwa amesema waliosambaza wamepotosha. Je waliisambaza wameigiza sauti ya Ndugai?
18 Reactions
55 Replies
5K Views
Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025. Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado...
10 Reactions
52 Replies
4K Views
Viongozi mliopo serikalini mkae mkijua,kuwa linaloanza kutoa mvuke karibu litashika kasi,kinachohitajika ni tume huru ya Uchaguzi ,na hili halina mswalie Mtume,Hii kero imeshapevuka na sasa kama...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Nchi hii siku zote tunasemaga imejaa wanafiki wa kiwango kikubwa sana cha hali ya juu. Hawa wabunge wakati Mams anadhalilishwa na kusemwa vibaya na na Ndungai kuhusu Tozo na mikopo walikua kimyaa...
0 Reactions
7 Replies
952 Views
Vita hii ilikuwa ndogo Sana, ilitakiwa iishie ofisini tu na kwenye kamati za maadili ya chama. Lakini Sasa matamshi ya mama si tu yatufanya watanzania tuhamaki la Bali dunia nzima habari hii...
2 Reactions
7 Replies
788 Views
Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake. Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma...
17 Reactions
69 Replies
6K Views
Tuna mhimili mmoja. IKUBALIKE BILA MANUNGUNIKO. Asubuhi Wanaupaka rangi ya serikali. Mchana wanaubadili rangi unakuwa mahakama. Jioni unapakwa rangi ya bunge. Hakikisheni rangi imo ya kutosha...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Tokea sakata la mikopo liibuliwe na Ndugai, viongozi wa chama wamesimama wima kumpinga Ndugai, hawampingi kwa hoja, wengi wanamshambulia kwa madhaifu ya kiutu aliyonayo Ndugai kaweka hoja mezani...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
CDM mlimshambulia Speaker Ndugai kwa kusimama kinyume na Executive branch na sasa (see below) mnamshambulia tena Speaker Ndugai kwa kuomba msamaha kwa yaliyotokea. Are you there to really offer...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
hakuna asiejua kuwa ushindi wa CCM katika uchaguzi Mkuu uliopita ,ulikuwa ushindi wa kulazimisha liwe liwalo na mwishowe kuapishwa waliosadikishwa kuwa wameshinda. Asilimia kubwa ni waumini hapa...
1 Reactions
0 Replies
597 Views
Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais...
47 Reactions
201 Replies
17K Views
Kwa hali ilivyotokea Leo sikutegemea mama ametoka povu vile heee🙄 kulalamika suala la Ndugai ni kutokujiamini yeye ndiye Rais ingetosha tu kuwaeleza Watanzania kwamba amesamehe yote na kwa kuwa...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
MIAKA 20 KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE MOSES NNAUYE NA KILIO CHA KUPEWA MTAA Tumeshuhudia mambo mengi sana katika Mwaka uliomalizika wa 2021 yapo mambo mengi lakini yaliyotikisa ni mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Katika hili suala la Job naona alichokosea ni nadharia ya mambo ya kitaalamu (uchumi na mikopo) ambayo kama mkuu wa mhimili alipaswa apate ushauri wa wataalam kabla hajatoa maoni yake public...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Utangulizi wangu una mada moja kwa mbili ili kuvileta vitu viwili Wakati Mama Samia anatawazwa kuwa mkuu wa nchi, watu wengi kwenye mitandao tofauti, JF ikiwa kinara walimshauri sana kwa nguvu...
1 Reactions
6 Replies
925 Views
Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia. Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
14 Reactions
171 Replies
15K Views
Imekuwa desturi yenu kila anapohutubia mmoja wa mhimili mnapiga makofi nakushangilia huku mkiimba Tunaimani na Fulani. Huwa mnachambua hotuba zao? Mmekuwa kama watoto kupiga makofi. Rais...
1 Reactions
6 Replies
805 Views
Back
Top Bottom