Japokuwa simkubali Ndugai, lakini katika hili ameonewa na kudhalilishwa isivyo sahihi na Rais

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,115
35,129
Ngoja niweke ushabiki na chuki zangu pembeni dhidi ya Ndugai, katika hili la sasa la Rais Samia kumfokea, kumdhihaki, kumbeza, kumnanga na kumzodoa hadharani Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai binafsi ninaona sio haki, sio uungwana na sio heshima.

Spika Ndugai ameonewa na kudhalilishwa kisiasa isivyo halali. Kihisia Ndugai kwa sasa ni kama amekatwa mikono na miguu, akafungwa mdomo wake na mwisho akapondwa pondwa moyo wake. Kisaikolojia mtu wa namna hii ndani yake hujaa fikra nzito za visasi dhidi yake au watetesi wake, kuna kila dalili mtu wa namna hii kuja kufanya maamuzi ya hatari mnoo kwa kuwa ni muasi wa kifikra, tena fikra zake mwenyewe!

Katika mazingira ambayo, mwanaume mbabe mtu mzima wa kiafrika kama Ndugai, mwenye nafasi ya juu sana kisiasa kama Ndugai kuja hadharani na kuomba msamaha mbele ya Rais wa nchi mwenye jinsia ya kike, basi ilitosha kabisa kulinda heshima na utu wake kwenye jamii kwa kujizuia kusema chochote juu yake. Mtu akishasema nimekosa na ninaomba msamaha, basi mambo yote huishia hapo na hakuna sababu ya kuyafufua mengine.

Maneno aliyoyatumia Ndugai wakati akiomba radhi ni maneno yanayotumika pia kwa waumini (hususani wakatoliki )wakati wa kufanya toba mbele ya Mungu wao na hubakia sirini mwao ni kipi hukiombea msamaha, toba hiyo inapobezwa na kuanikwa hadharani ni fedheha kwa muumini kiasi hata cha kutamani kuasi imani yake milele.

Simkubali kabisa Ndugai kisiasa na kijamii, sipendi kabisa hulka yake ya kisiasa na kijamii, karibu siku zote ninamuona kama ni mtu roho mbaya, husuda na uongo, ni adui namba moja kwangu kisiasa baada ya Magufuli, lakini katika hili la sasa nampa pole, namtetea na kumuonea huruma kama binadamu mwingine yoyote anayehitaji kuheshimiwa na kulindwa utu wake.
 
Mimi sina makandokando...

The way alivyowatreat na kuwasuta

Professor Assad
Tundu Lissu
Freeman Mbowe
Pascal Mayalla

Acha na yeye avune alichopanda

Alifurahia kudhalilisha wengine sasa acha naye apate urojo wa Jang'ombe

Malipo ni hapahapa duniani

Natamani mama adamke na kumchamba na wale wabunge wake hewa 19. Hiyo siku nitakunywa fanta badala ya K Vant.
 
Malipo ni hapa hapa dunian hakuna cha kusubir ahera Wala nn, hicho ndicho alichopanda acha avune, ni sawa na mwizi avunje nyumba yako au jiran yako aibe alafu kesho unamkuta watu wanamsulubu eti unamuonea huruma hakunaga huo ujinga
 
Ameshaomba msamaha hatuna cha kumsaidia, hauwezi kumtetea mtu aliyeomba msamaha. unamtetea nini sasa?

Kwa maana nyingine amebariki ule utaratibu wa CCM kutokumpinga mwenyekiti wake.

Hata hivyo, watanzania tunapaswa kusikitika sana kwa Jobu "kubagazwa" ni nani mwingine ataweza kumkosoa Rais, kama mtu mwenye muhimili anabagazwa hadharani? Kwahiyo si ajabu kuwaona watu magerezani kwa kesi za kisiasa.

Kwa ujumla nchi hii Rais ni mungu, na sote tumwabudu! Angalizo: nimeandika mungu si Mungu.
 
Nchi hii rais ni taasisi siyo mtu mmoja. Ukimkejeli rais ni sawa na unaikejeli ikulu na kama Nyerere aliposema ikulu ni patakatifu. Sasa hata kama rais aliyekuwepo humtaki au unaona hana sifa ya kukaa ikulu, taasisi bado ipo. Na watailinda. Kwa hiyo ujue yoyote yule atakaye mkejeli rais au sijui kuanzisha vita na rais atapata wakati mgumu sana. Tena haswa ukiwa ni mtu wao wa CCM ndiyo utaiona nchi chungu. Ndiyo jinsi hii nchi ilivyo tangu ilivyoanza. Msilinganishe Tanzania na Marekani na Ulaya ambao unaweza kumkejeli au kumdharau kiongozi wa nchi ukaendelea tuu na maisha yako kama kawaida.
 
Wacha avune alichopanda,nikikikumbuka ishu ya Lissu hakika huyu hana tofaut na yule Iblis mwenzie anaeramba mchanga nw
Ngoja niweke ushabiki na chuki zangu pembeni dhidi ya Ndugai, katika hili la sasa la Rais Samia kumfokea, kumdhihaki, kumbeza, kumnanga na kumzodoa hadharani Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai binafsi ninaona sio haki, sio uungwana na sio heshima.

Spika Ndugai ameonewa na kudhalilishwa kisiasa isivyo halali. Kihisia Ndugai kwa sasa ni kama amekatwa mikono na miguu, akafungwa mdomo wake na mwisho akapondwa pondwa moyo wake. Kisaikolojia mtu wa namna hii ndani yake hujaa fikra nzito za visasi dhidi yake au watetesi wake, kuna kila dalili mtu wa namna hii kuja kufanya maamuzi ya hatari mnoo kwa kuwa ni muasi wa kifikra, tena fikra zake mwenyewe!

Katika mazingira ambayo, mwanaume mbabe mtu mzima wa kiafrika kama Ndugai, mwenye nafasi ya juu sana kisiasa kama Ndugai kuja hadharani na kuomba msamaha mbele ya Rais wa nchi mwenye jinsia ya kike, basi ilitosha kabisa kulinda heshima na utu wake kwenye jamii kwa kujizuia kusema chochote juu yake. Mtu akishasema nimekosa na ninaomba msamaha, basi mambo yote huishia hapo na hakuna sababu ya kuyafufua mengine.

Maneno aliyoyatumia Ndugai wakati akiomba radhi ni maneno yanayotumika pia kwa waumini (hususani wakatoliki )wakati wa kufanya toba mbele ya Mungu wao na hubakia sirini mwao ni kipi hukiombea msamaha, toba hiyo inapobezwa na kuanikwa hadharani ni fedheha kwa muumini kiasi hata cha kutamani kuasi imani yake milele.

Simkubali kabisa Ndugai kisiasa na kijamii, sipendi kabisa hulka yake ya kisiasa na kijamii, karibu siku zote ninamuona kama ni mtu roho mbaya, husuda na uongo, ni adui namba moja kwangu kisiasa baada ya Magufuli, lakini katika hili la sasa nampa pole, namtetea na kumuonea huruma kama binadamu mwingine yoyote anayehitaji kuheshimiwa na kulindwa utu wake.
 
Hili la kuomba msamaha, uzito wake na uelewa mpana uanzie kwenye ndoa zetu, ni Nani akiombwa msamaha, kwa haraka husamehe na kusahau,.?

Kama hakuna jibu, acha ajijibu muomba msamaha
 
Leo alikua anapewa mipasho kama vile alichelewa nyumbani kwa kulala bar. Ahahah kauli fupi ya mh ingetosha mfano. Ndugai kateleza tumnyayue safari iendelee.
 
Wacha avune alichopanda,nikikikumbuka ishu ya Lissu hakika huyu hana tofaut na yule Iblis mwenzie anaeramba mchanga nw
Si kwamba umejificha kwenye hiko kichaka Cha kusema unakumbuka ya Lissu
Maana Lissu yeye yupo pamoja na ndugai kwenye hili, kwa lugha nyepesi kamsamehe ndugai. Wewe bado, aisee
 
Mimi sina makandokando...

The way alivyowatreat na kuwasuta

Professor Assad
Tundu Lissu
Freeman Mbowe
Pascal Mayalla

Acha na yeye avune alichopanda

Alifurahia kudhalilisha wengine sasa acha naye apate urojo wa Jang'ombe

Malipo ni hapahapa duniani

Natamani mama adamke na kumchamba na wale wabunge wake hewa 19. Hiyo siku nitakunywa fanta badala ya K Vant.
Msome muanzisha mada hii mnamo may7 2021Thread 'Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?' Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?
 
Ngoja niweke ushabiki na chuki zangu pembeni dhidi ya Ndugai, katika hili la sasa la Rais Samia kumfokea, kumdhihaki, kumbeza, kumnanga na kumzodoa hadharani Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai binafsi ninaona sio haki, sio uungwana na sio heshima.

Spika Ndugai ameonewa na kudhalilishwa kisiasa isivyo halali. Kihisia Ndugai kwa sasa ni kama amekatwa mikono na miguu, akafungwa mdomo wake na mwisho akapondwa pondwa moyo wake. Kisaikolojia mtu wa namna hii ndani yake hujaa fikra nzito za visasi dhidi yake au watetesi wake, kuna kila dalili mtu wa namna hii kuja kufanya maamuzi ya hatari mnoo kwa kuwa ni muasi wa kifikra, tena fikra zake mwenyewe!

Katika mazingira ambayo, mwanaume mbabe mtu mzima wa kiafrika kama Ndugai, mwenye nafasi ya juu sana kisiasa kama Ndugai kuja hadharani na kuomba msamaha mbele ya Rais wa nchi mwenye jinsia ya kike, basi ilitosha kabisa kulinda heshima na utu wake kwenye jamii kwa kujizuia kusema chochote juu yake. Mtu akishasema nimekosa na ninaomba msamaha, basi mambo yote huishia hapo na hakuna sababu ya kuyafufua mengine.

Maneno aliyoyatumia Ndugai wakati akiomba radhi ni maneno yanayotumika pia kwa waumini (hususani wakatoliki )wakati wa kufanya toba mbele ya Mungu wao na hubakia sirini mwao ni kipi hukiombea msamaha, toba hiyo inapobezwa na kuanikwa hadharani ni fedheha kwa muumini kiasi hata cha kutamani kuasi imani yake milele.

Simkubali kabisa Ndugai kisiasa na kijamii, sipendi kabisa hulka yake ya kisiasa na kijamii, karibu siku zote ninamuona kama ni mtu roho mbaya, husuda na uongo, ni adui namba moja kwangu kisiasa baada ya Magufuli, lakini katika hili la sasa nampa pole, namtetea na kumuonea huruma kama binadamu mwingine yoyote anayehitaji kuheshimiwa na kulindwa utu wake.
 
Huyu amekumbwa na laana ya Mungu kutokana na Unyama aliomtendea Lissu kwa kushirikiana na Magufuli , huu ni mwanzo tu
 
Ndugai naye hamnazo unaombaje msamaha wakat ulichofanya ni moja ya majukumu yako ...!!
Kabisa mkuu.Hakupaswa kuomba msamaha kwa kusema Ukweli ambao upo. Alafu huyu mama waosema anajua mambo ya msamaha Ni unafiki tu Hajui chochote kuhusu msamaha na kusamehe vyote vimempita kushoto. Anapenda kuheshimiwa na yeye ajui kuwaheshimu wengine
 
Back
Top Bottom