Je, Spika Ndugai asaidiwe kisaikolojia au aachwe?

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Re-elected.jpg

Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika.

Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea legacy yake na kujifananisha na Spika Marehamu Samwel Sitta, Ndugai anaumia na kukwazika sana kwanini watu walimuheshimu Samwel Sitta na kuheshimu Bunge la tisa la Samwel Sitta.

Ndugai amejitahidi kulia na kubembeleza kwa wabunge kuwa naye atajitahidi kuandika mambo aliyoyafanya ili watu wamuelewe, Je mbona Samwel Sitta hajaandika popote legacy yake lakini anakumbukwa.

Ndugai ni moja ya Spika atakaye Kumbukwa kwa maovu na ukatili wa hali ya juu kinyume na mwanadamu wa kawaida.

Ndugai asipojirekebisha ataunganishwa na mwendazake kama watu walioharibu Uchumi wa nchi mpaka kufika ukuaji wa asilimia 4% ambao watu wengi wamepoteza ajira.

Ndugai atakumbukwa kama mtu asiyekuwa na busara na Hekima kwa maamuzi yake yaliyoharibu Taifa.

Maamuzi ya kupitisha sheria uchwara kama za uhujumu Uchumi ili kumfurahisha mwendazake, Bila aibu Ndugai anashawishi sheria hizi sasa ziletwe Bungeni tena baada ya kuona upepo umekaa hovyo.

Ndugai ameshiriki kupitisha sheria za mifuko ya jamii kandamizi ili kuwaumiza wastaafu, Mifuko ya jamii iliunganishwa na pesa kufilisiwa kwa kisingizio zinajenga miradi, Leo Mama Samia anapata wakati mgumu sana.

Ndugai atakumbukwa kama mtu aliyegeuza Bunge genge la watu wasiojielewa ambao kazi yake imekuwa kuzurula na mwendazake kila kona wakati wa kuzindua miradi, Ndugai alipokea maagizo hata ya kuwanyima stahiki zake wabunge kama Tundu Lissu.

Ndugai Leo amepoteza muda kujibu hoja za Nape kwa aibu kubwa, Ndugai bado haamini kama Mwendazake hayupo alishatangulia, Nina uhakika kauli ya Nape kuwa wabunge wale 19 na chadema wapo pale sio kihalali angetamka wakati ule Ndugai angemfukuza Nape Bungeni ili kumfurahisha Mwendazake.

Hawa ni viongozi wa kitaifa lakini mwisho wa siku wataandikwa kwenye historia kama moja ya watu pekee kutokea Tanzania walioendesha nchi kama gari bovu isiyokuwa na sheria, kanuni na taratibu.

Hakika Ndugai atatumia muda mwingi kutetea legacy yake huku akisahau legacy inajitetea yenyewe.

Pole Sana Mheshimiwa Ndugai, Tafuta mwalimu wa Saikolojia aliyekufunza ukatili hayupo tena.
 
Sometimes mbona Akili inasound.
 
Kwani hao wabunge wasipokuwepo bungeni ww unapata faida gani?

Kitu gani kinaongezeka?

Au na ww ni kama wale viongozi wako ambao walishawaweka wake zao na wale wanawake ambao walishalipa milion kumi kumi?
 
Wajumbe 30
Tundu Lissu 24
Mimi kura zote (30)

Hatari kwa afya hii. 😂😂😂😂

Nimefanya magazijuto, wapi! Nikarudia hesabu za chekechea, wapi! Nikasema nijaribu primary, wapi! Kwa ufupi huo mnyumbulisho sijauelewa kabisa.

Anaposema jumla ya wajumbe ilikua 30 na alipata zote, inamaana TAL alipata zero. Unapomuwekea jamaa 24 na yeye akapata 30 ni kusema jumla ya wajumbe ilikua 54.

Lazima kuna mtu hasemi ukweli hapo.
 
Ndugai endelea kupiga spana hizi nyumbu hadi akili iingie vema.
Kwa akili yako unadhani Sheria kandamizi zimetungiwa watu wa CHADEMA. Nakuhakikishia Kuna makada kibao wa CCM wako Segerea hawajui hatima ya Maisha yao. Unamkumbuka kada mmoja kule mkoani Mara ? Alikua msitari wa mbele kwenye chama. Yuko wapi Sasa?
 
Ndugai tatizo lake jingine anajisahau.Yeye ni speaker wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.Siyo speaker wa ccm.Aache mambo ya kujibishana kichama chama,Chadema wakiamua kufanya naye bifu kibinafsi,itashusha heshima yake katika jamii.Ukibeep watu wanakupigia.Chadema inawafuasi wengi,kwenye kampeni za Lisu mwaka jana inazihirisha hilo.Wakiamua wafanye naye beef hatobaki salama.Kwanza hata Bungeni chadema hawapo,yeye angekomaa na kutoa umasikini kwa watanzania.Siyo mabeef.
Yeye kapewa zamana ya uongozi afanye kazi,hasa ya kuwatoa umasikini uliopitiliza kwa wananchi wa jimbo lake la Kongwa
 
Tatizo alilokuwa nalo Magufuli dhidi ya Cdm, ndio tatizo alilo nalo Ndugai. Kibaya zaidi Ndugai alilazimisha kuwa na chuki sawa na ya Magufuli dhidi ya Cdm. Hivyo Magufuli amefariki kamuacha Ndugai tayari akiwa na urahibu mkali dhidi ya Cdm. Na hakuna namna Ndugai ataacha kuitaja cdm kwa namna hasi, kwani ameshaathirika na uwepo wa cdm. Na Ndugai anaamini ubora wa spika ni kukomoa wapinzani, na sio kuendesha mijadala ya Muhimili wa bunge iwe na tija kwa taifa. Ili Ndugai akae sawa ni kutolewa kwenye hicho cheo, maana ameiga kiburi cha madaraka cha Magufuli, wakati kwa sasa zama hizo hazipo.
 
Back
Top Bottom