Kwa nini viongozi wa serikali hupenda kuona watu kama wajinga na hawana akili?
Mlipopitisha tozo za serikali kwenye miamala ya simu ulitamka kwa dharau na kejeli kuwa asiyetaka kulipa tozo ahamie...
Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu...
Herini ya Mwaka mpya kwetu sote tuliojaariwa pumzi tena na Mwenyezi Mungu kuwa sehemu ya watz tuliojariwa kuendelea kuishi tena.
Niende moja kwa moja kwenye hoja ya maada hapo juu na swali...
Ndugai usikubali kufa kindezi (Misemo ya vijana), Wewe ni Kiongozi wa Muhimili wa Bunge na Kikatiba una nguvu za kusikiliza Hoja za kumtoa Rais au hata kuchana speech yake.
CCM wachache wanataka...
Kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya hii mihimili miwili sasa ni wakati muafaka wa watanzania kujua weledi wa bunge lao. Kwa hali iliyopo bunge makini lina options mbili tu nazo ni 1. kupiga...
Mzee Stephen Wassira ambaye alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kuandaa ilani ya CCM 2015 iliyomuingiza madarakani hayati Magufuli amesema ni mtu mjinga tu ndiye anaweza kuhoji mikopo ya awamu ya 5...
Mwaka 2021 ni mwaka wa kipekee sana katika historia ya JMT, nchi yetu ilipita katika mtihani mgumu ambao utakumbukwa vizazi na vizazi vijavyo. Kuondokewa na Rais aliyepo madarakani lilikuwa pigo...
Black mailing dhidi ya Rais Samia
Kuna kundi wamedhamiria kufanya blackmailing. Ofcourse wako bado serikalini na wako na vyeo vyao.
Rais Samia hakutaka kuwatoa wote tunajua hakutaka lawama...
Hii dhana ya deni la taifa huwa inawapa shida sana watu wengi.
Shida kubwa inakuja kwenye usahihi wa upimaji wa deni la taifa.
Kuna njia mbili za kuangalia deni la taifa.
1. Absolute term - hii...
Mwanaume halisi anakomaa na msimamo wake iwe jua iwe mvua. Kwahiyo bwana Job ulipoona akina Lissu, Mbowe na wapinzani wengineo wakiwa na ujasiri wa kuikosoa Serikali mpaka mnawatwanga marisasi...
Tunapokuwa na taifa kubwa kama hili tunahitaji miongozo thabiti sana kwenye mambo nyeti kama haya ili siku nyingine tusijerudia makosa kama haya. Ni risk kubwa sana maana kiongozi sio jambo la...
Nimekurupuka tu toka usingizini wakati nimesinzia macho wazi jana mchana, nikawaza kiusingizi singizi, katiba iliyopo haina kipengele kinachoainisha na kuelekeza mchanyato wa kuvunja mkusanyiko wa...
Upo msuguano wa dhahiri baina ya Spika na Rais. Spika ni kiongozi wa Bunge “Bunge” na Rais ni Kiongozi wa Serekali “Executive”. Wote ni Wakuu wa mihimili hapa anakosekana Jaji Mkuu ambae ni Mkuu...
Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza...
Spika Ndugai ametangaza tarehe 29/01/2022 kuwa ni siku ya kuliombea taifa ili liwe na amani, mshikamano na ushirikiano.
Maombi yatafanyika bungeni na viongozi wote wa dini watakuwepo ambapo mgeni...
Nimeshindwa kuelewa kwa kina juu ya maneno ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Spika nilimwelewa kwamba kuna tozo zinazoendelea kutozwa zililenga kuondoa upungufu wa madarasa...
Jana ndio kila picha limeungua hapa nchini. Maana kauli za mkuu wa nchi na mwenyekiti wa CCM zimefunua macho watanzania.
Kumbe mtu kuwa spika lazima uaminiwe na wanaCCM ili kulinda maslahi yao...
Ndani ya ccm na hata huko upinzani kumetawaliwa na vita tu, Watu wengi ambao sio wanachama wa vyama hivi vya siasa huona vita wakati wa kura za maoni na uchaguzi tu. Kiuhalisia vita inatokota...
NImeshangaa sana. NImeona upungufu mkubwa kwa upande wa Magufuli, kwamba katika sababu ambazo angependa Ndugai arudi kuwa Spika baada ya uchaguzi, ya maana kuliko zote ni hiyo ya kuunda kamati ya...
Nimeshangazwa Sana na Kauli za kejeli na michambo illiyoelekezwa kwa spika ndugai siku hi ya leo na mkuu wa nchi mawaziri na makada was chama changu.
Kama Job alitumia muda mwingi hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.