Yajue Maguvu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,854
Kabla ya kuanzisha vita yoyote na mtanzania ambae ni raisi wa nchi inakupasa ujue unapambana na nani,

1) Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, unatakiwa kutambua kua unapopambana na mtu huyu ujue unapambana na boss wa Police, Uhamiaji, Zimamoto, Magereza, JKT, JWTZ na TISS.

Kama una ubavu wa kupambana na mtu huyu inakupasa ujue hiyo vita yako unapigana na mtu wa namna gani na wew una nani nyuma yako? Ukijiona huna lala Lea wanao

2) Mwenyekiti wa CCM taifa, utapigana na mwenyekiti wa chama taifa chama choote bosi wao yeye, anaweza kumvua na kumvisha yoyote uanachama sasa kama upo ndani ya chama unataka vita na yeye unakumbushwa mwenyekiti hajawahi popote kupoteza pambano au vita ndani ya chama.
 
Jobo na yeye ana sajenti wake kule bungeni .....mpuuzi huyu ana dharau kwa Mama
 
images - 2022-01-05T033451.968.jpeg
 
Kabla ya kuanzisha vita yoyote na mtanzania ambae ni raisi wa nchi inakupasa ujue unapambana na nani,

1) Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, unatakiwa kutambua kua unapopambana na mtu huyu ujue unapambana na boss wa Police, Uhamiaji, Zimamoto, Magereza, JKT, JWTZ na TISS.
Kama una ubavu wa kupambana na mtu huyu inakupasa ujue hiyo vita yako unapigana na mtu wa namna gani na wew una nani nyuma yako? Ukijiona huna lala Lea wanao

2) Mwenyekiti wa CCM taifa, utapigana na mwenyekiti wa chama taifa chama choote bosi wao yeye, anaweza kumvua na kumvisha yoyote uanachama sasa kama upo ndani ya chama unataka vita na yeye unakumbushwa mwenyekiti hajawahi popote kupoteza pambano au vita ndani ya chama

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
FB_IMG_1641341848125.jpg
 
Jobo tutamnyoosha… kutuletea wale wabunge wa Covid19 asidhani tulimfurahia sisi wanaccm, ni vile mwenda zake alimkingia kifua ili yasikosekane yale mabilioni ya….
Sasa hivi mama yupo tayari kuyakosa!!
 
Back
Top Bottom