Kuna unafiki mkubwa sana ndani ya CCM

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri

Wahenga walisema pembe la ng'ombe halifichiki na hii ndio maana yake

Nanukuu
""Kuna mtu alikuja mara baada ya mimi kuapishwa na akanipa pongezi pamoja na pole, nikapokea. Akaniambia atakayekusumbua katika uongozi wako wala sio mpinzani ni kijani mwenzako na ndicho nachokiona" Mhe. SuluhuSamia"

Kutokana na kauli hiyo tunakubaliana kwamba wanaochelewesha maendeleo ya watanzania ni wanaccm wenyewe na wala sio vyama vya upinzani

Kama kuna unafiki na uzandiki ndani ya.baraza la mawaziri tutegemee maendeleo yatatokea wapi.

CCM ndio adui namba moja wa maendeleo nchini huo ujinga, maradhi na umaskini tunavionea tu

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom