Kundi hili sio la kubeza, Vyombo Fanyeni kazi ya Ziada kwa ajili ya Usalama wa Rais Wetu

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,190
Kutokana na kauli ya wazi ya Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
Ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi.
Tuhuma dhidi ya Ndugai na kundi lake sio za kubeza.

Hii ni ihara ya vita na hapa lazima mshindi apatikane.
Mazara yatakuwa makubwa katika medani za Ulinzi na Usalama nchini.
Watakao teuliza yaani baraza la mawaziri ni lazima wafanye kufa na kupona kutangaza kazi za Mh. Rais.

Tunatarajia kutokea yafuatayo
Kuwepo kwa movement kubwa ya mitandao ya kijamii ili kuharibu reputation ya Rais wetu.
Kuwepo kwa taarifa za hatari juu ya Rais wetu. Siku chache kumekuwa na rumons uzushi wa makusudi unaoashiria yafuatayo.
1. Kutenegeneza hari ya taharuki
2. Kuaminisha wananchi kuwa Rais Samia hakustahili.
3. Kumvunja Moyo Rais.

Sasa kwa vile waasi wamejulikana ni muda wa Rais Samia kuimarisha ulinzi wake binafsi
Ni muda wa Rais Samia kuzungukwa na watu waaminifu.
Ni muda wa Intelligence ya Rais Samia kunusa na kufanya maamuzi ya haraka kwa kila tishio.

Kwa nini ni muhimu kfanya hivyo
Kundi linalompinga Rais Samia liko kila kona
Kundi hili linashabihiana na itikadi za kikanda na kidini
Kundi hili lilikuwa limejiimarisha kuto kutoka Serikalini Milele asingekuwa Mungu walah watanzania wangeteseka.

Kwa kuwa ni vita,
Sheria ya vita inatoa fursa kwa muda wa kujiandaa na kushambulia
Inatoa fursa ya kutoa maiti na majeruhi
Basi tutegemee hii kuwa babu kubwa.
Rais Samia hapaswi kumuamini mtu hata Makamu wake.
Sisemi kuwa Makamu ni mtu Mbaya la hasha lakini binadamu ni complex animal
ambaye ubingo wake umezungukwa na nerva bilion 4.5 hivyo huwezi mpima kwa kuangalia.

Tusimame na Rais Wetu

RAIS SAMIA 2025
KAZI IENDELEEE
 
Nosense
 
Yeye mwenyewe katangaza vita , ajiandae kupigana yeye na kivuli chake. watanzania hatunaga shida .
Tozo tunatoa, kodi tunalipa , kazi tunafanya , lakini Leo kuanza kututangazia vita , vita ya nini?
Asitusumbue bwana.
 
Inashangaza Rais alieanzisha vita ya kugombania madaraka ya 2025 kwa kuwaambia wanawake wenzie ni zamu yao, leo atafutiwe ulinzi kwa kuogopa vita aliyoianzisha, nyie chawa mna tabu sana, mwambie aache kuogopa kivuli chake.
Kuanzia Novemba 2025 nchi haiko tayari kuendelea kuongozwa na she (sketi), mwenye uwezo mdogo, tena kutoka nchi jirani (Zanzibar)
 
Mnaongelea ya 2025 utadhani mna ahadi na Mungu. Kwa pigo tulilopata march 17 ,bado hamjajifunza tu.

Nahisi kuna kiongozi mkubwa atakufa kabla ya hiyo 2025.

Mambo yatakwenda vizuri tu kama yalivyopangwa.
 
Kutokana na kauli ya wazi ya Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
Ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi.
Tuhuma dhidi ya Ndugai na kundi lake sio za kubeza.

Hii ni ihara ya vita na hapa lazima mshindi apatikane.
Mazara yatakuwa makubwa katika medani za Ulinzi na Usalama nchini.
Watakao teuliza yaani baraza la mawaziri ni lazima wafanye kufa na kupona kutangaza kazi za Mh. Rais.

Tunatarajia kutokea yafuatayo
Kuwepo kwa movement kubwa ya mitandao ya kijamii ili kuharibu reputation ya Rais wetu.
Kuwepo kwa taarifa za hatari juu ya Rais wetu. Siku chache kumekuwa na rumons uzushi wa makusudi unaoashiria yafuatayo.
1. Kutenegeneza hari ya taharuki
2. Kuaminisha wananchi kuwa Rais Samia hakustahili.
3. Kumvunja Moyo Rais.

Sasa kwa vile waasi wamejulikana ni muda wa Rais Samia kuimarisha ulinzi wake binafsi
Ni muda wa Rais Samia kuzungukwa na watu waaminifu.
Ni muda wa Intelligence ya Rais Samia kunusa na kufanya maamuzi ya haraka kwa kila tishio.

Kwa nini ni muhimu kfanya hivyo
Kundi linalompinga Rais Samia liko kila kona
Kundi hili linashabihiana na itikadi za kikanda na kidini
Kundi hili lilikuwa limejiimarisha kuto kutoka Serikalini Milele asingekuwa Mungu walah watanzania wangeteseka.

Kwa kuwa ni vita,
Sheria ya vita inatoa fursa kwa muda wa kujiandaa na kushambulia
Inatoa fursa ya kutoa maiti na majeruhi
Basi tutegemee hii kuwa babu kubwa.
Rais Samia hapaswi kumuamini mtu hata Makamu wake.
Sisemi kuwa Makamu ni mtu Mbaya la hasha lakini binadamu ni complex animal
ambaye ubingo wake umezungukwa na nerva bilion 4.5 hivyo huwezi mpima kwa kuangalia.

Tusimame na Rais Wetu

RAIS SAMIA 2025
KAZI IENDELEEE
Vyovyote iwavyo, mkopo wa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati haikubaliki!
 
Mnaongelea ya 2025 utadhani mna ahadi na Mungu. Kwa pigo tulilopata march 17 ,bado hamjajifunza tu.

Nahisi kuna kiongozi mkubwa atakufa kabla ya hiyo 2025.

Mambo yatakwenda vizuri tu kama yalivyopangwa.
Bila mipango maisha hayaendi
 
Back
Top Bottom