#COVID19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi avunja ukimya kwa kuelezea kuhusu covid-19 na umuhimu wa kuchanja

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,716
45,117
Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku

DEB9CCC4-DDD1-4686-851A-DA75B83712AB.jpeg


====

Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19



Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa Covid-19 na madhara yake.

Katika kuffanua hoja yake Sugu amemtolea mfano kaka yake wa damu ambaye alipata maradhi hayo akalazwa na kuwekwa katika mitungi ya kupumulia kwa zaidi ya wiki tatu.

Sugu amesisitiza kuwa ugonjwa huo ni hatari na matibabu yake yanagharimu kwa kiasi kikubwa sana.

Mwisho, Sugu ametoa wito kwa wananchi wote kujitokeza kupata chanjo ya corona ili kuikinga miili yao dhidi ya maambukizi na athari za ugonjwa huo.
 
Karibu jongwe chama kubwa najua mama anakusuuza sana anavyoendesha nchi!
Sugu ninayeumjua wa" niwapi tunakwenda"sijui Kama anaweza kuwa Gamba...ila kwa wanasihaaasa hakuna kinachoshindikana...ila saa moja ya wapi ?INDIA?AU?
 
Back
Top Bottom