Sakata la Masoko kuungua na Moto. Je, nini mwarobaini wa majanga haya?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Ilianza soko la K/Koo, likawaka moto na kuleta hasara kubwa kwa wafanyabuashara na Taifa kwa ujumla, pamoja na serikali kuingilia kati na kuundwa kwa kamati ya uchunguzi wa sakata hilo (Ingawa Bado hatujapewa Report ya janga hilo,, Wala wahusika kutupa angalau update tu ya suala hlo) , ghafla leo Tena soko la Karume limeteketea kwa Moto😭.

Je, Serikali kupitia kuungua kwa soko la K/Koo haikujenga solution ya moja kwa moja kwa habari ya usalama wa Masoko kuyakinga na milipuko ya Moto?

Wadau, nini kimeikumba Serikali?

Je, Mama anahujumiwa au?

Je, nini solution ya muda wote kwenye majanga ya namna hii?

Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
 
Kwanini mara nyingi masoko ya wafanyabiashara hawa yanaungua usiku?

Mchana moto unaogopa kuteketeza mali za watu? Moto una aibu?

Ile taarifa ya kamati ya kuchunguza moto uliotekeza soko la Kariakoo July 2021 kwanini haijatoka? Miezi sita sasa. Kuna maswali mengi, nakosa majibu!

Soko la Karume ni kati ya sehemu ambazo vijana wa kipato cha kati na chini hujipatia mahitaji na kipato chao.

Hakuna kilichookolewa. Wajasiriamali wamepoteza mitaji na hakuna wa kuwafidia.

Mavi-jana yanalipwa na serikali ya CCM kwa kuiweka CCM madarakani🐒🐒🐒

mcR.jpg
bRo.jpg
 
Ilianza soko la k/Koo,, likawaka moto na kuleta hasara kubwa kwa wafanyabuashara na Taifa kwa ujumla, pamoja na serikali kuingilia kati na kuundwa kwa kamati ya uchunguzi wa sakata hilo (Ingawa Bado hatujapewa Report ya janga Hilo,, Wala wahusika kutupa angalau update tu ya suala hlo) , ghafla leo Tena soko la Karume limeteketea kwa Moto.

Je,, Serikali kupitia kuungua kwa soko la k/Koo haikujenga solution ya moja kwa moja kwa habari ya usalama wa Masoko kuyakinga na milipuko ya Moto??

Wadau,, nini kimeikumba Serikali??

Je,, Mama anahujumiwa au??

Je,, nini solution ya muda wote kwenye majanga ya namna hii??
Kuitoa madarakani serikali inayohujumu shughuli za wananchi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilianza soko la k/Koo,, likawaka moto na kuleta hasara kubwa kwa wafanyabuashara na Taifa kwa ujumla, pamoja na serikali kuingilia kati na kuundwa kwa kamati ya uchunguzi wa sakata hilo (Ingawa Bado hatujapewa Report ya janga Hilo,, Wala wahusika kutupa angalau update tu ya suala hlo) , ghafla leo Tena soko la Karume limeteketea kwa Moto.

Je,, Serikali kupitia kuungua kwa soko la k/Koo haikujenga solution ya moja kwa moja kwa habari ya usalama wa Masoko kuyakinga na milipuko ya Moto??

Wadau,, nini kimeikumba Serikali??

Je,, Mama anahujumiwa au??

Je,, nini solution ya muda wote kwenye majanga ya namna hii??

Najaribu kifikiria inawezekana ikawa ndio njia pekee ya kuwahamisha machinga.
 
Kabla ya kutafuta suluhisho la majanga ya moto, tujiulize nani anachoma hayo masoko
Hata report ya mlipuko wa Moto K/Koo Bado haijatoka, means hatuko serious kabisa na kupata ufumbuzi wa majanga haya.
 
Ilianza soko la k/Koo,, likawaka moto na kuleta hasara kubwa kwa wafanyabuashara na Taifa kwa ujumla, pamoja na serikali kuingilia kati na kuundwa kwa kamati ya uchunguzi wa sakata hilo (Ingawa Bado hatujapewa Report ya janga Hilo,, Wala wahusika kutupa angalau update tu ya suala hlo) , ghafla leo Tena soko la Karume limeteketea kwa Moto.

Je,, Serikali kupitia kuungua kwa soko la k/Koo haikujenga solution ya moja kwa moja kwa habari ya usalama wa Masoko kuyakinga na milipuko ya Moto??

Wadau,, nini kimeikumba Serikali??

Je,, Mama anahujumiwa au??

Je,, nini solution ya muda wote kwenye majanga ya namna hii??
Soko la Ndugai litaungua lini?
 
Kwanini mara nyingi masoko ya wafanyabiashara hawa yanaungua usiku?

Mchana moto unaogopa kuteketeza mali za watu? Moto una aibu?

Ile taarifa ya kamati ya kuchunguza moto uliotekeza soko la Kariakoo July 2021 kwanini haijatoka? Miezi sita sasa. Kuna maswali mengi, nakosa majibu!

Soko la Karume ni kati ya sehemu ambazo vijana wa kipato cha kati na chini hujipatia mahitaji na kipato chao.

Hakuna kilichookolewa. Wajasiriamali wamepoteza mitaji na hakuna wa kuwafidia.

Mavi-jana yanalipwa na serikali ya CCM kwa kuiweka CCM madarakani
View attachment 2083140View attachment 2083141
Suala la usalama mahali pa kazi bado katika maeneo meng sana, ni wito kwa maafisa mazingira wote. Emo's wapite maeneo yote ya mikusanyiko il kukagua na kama hawana Eia wafanye Audit, ni vyema kwa baadae maeneo yote ya masoko yawe rasmi yenye miundombinu ya kisasa.

Nimetembelea Karume mazingira yake hata mtu akadondosha kitu cha moto na huwa naona vijana wanavuta sigara kweli kweli na mazingira yale huwa hatari
 
suala la usalama mahali pa kazi abdo katila maeneo meng sana.ni wito kwa maafisa mazingira wote.Emo's wapite maeneo yote ya mikusanyiko il kukagua na kama hawana Eia wafanye Audit .ni vyema kwa baadae maeneo yote ya masoko yawe rasimi yenye mihundo mbinu ya kisasa.
nimetembelea karume mazingira yake hata mtu akadondosha kitu cha moto na huwa naona vijana wanavuta sigara kweli kweli na mazingira yale huwa hatar
Umeandika kama layman. Haya masoko huwa yanachomwa moto na serikali na habari huna.

Usiku huwa hakuna kabisa magari wala foleni barabarani lakini zima moto huwa hawaendi na wakienda huwa wanapaki tu na kupiga stori.

Pole kwa kuandika hadithi ndefu ambayo ni nonsense.
 
Masoko yote yanapaswa kuwa na bima dhidi ya Moto ili kuweza kuwafidia waganga Mali zao pindi itakapotokea janga la Moto.

Pia ni wakati muafaka sasa kuweka mabomba ya maji ya kizima Moto ambayo yanakupa na matenki yenye maji masaa yote kwenye masoko yote.

Tunaweza kuepuka haya matatizo endapo tutawekeza kwenye kujenga matenki makubwa kila soko ambapo maji yatatumoka sokoni Ila pia yatakuwa reserve ya kizima Moto au ndio emeriwakati magari yanakuja pawepo kianzio Cha kizima Moto.
 
Back
Top Bottom