Habari zilizotufikia hivi punde, zimeeleza kuwa, askari polisi SABA wameuawa na majambazi huko Mkuranga, Mkoani Pwani.
Habari hizo zinasema kuwa, askari hao wameuawa kwa kupigwa risasi na...
Iwapo Raisi Samia ataridhia kufanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi kwa kumuondoa IGP Sirro, unadhani ni nani atafaa kukabidhiwa mikobo ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini?
Inawezekana tunaona...
Mgombea udiwani wa Kata ya Gulwe kwa tiketi ya Chadema na wenzake wanne , Walikamatwa 13/9/2020 kwa amri ya WAKUBWA na kubambikiwa kesi ya uongo ya unyang'anyi wa kutumia silaha , Wakaswekwa...
Wakati Dennis Urio anatoa ushahidi alidai kuwa baada ya kutoa taarifa kwa DCI alidai DCI na Kingai walimwambia atafute hao watu, Urio akatafuta watu bila kuwaambia kuwa kuna moja mbili tatu yeye...
Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali...
Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2%...
KAMPUNI YA TBL YAKUBALI KUFATA MAELEKEZO YA SERIKALI
Dodoma, Tanzania.
Serikali imewahakikishia wakulima wa shayiri kupata soko la uhakika kwa kuiuzia moja kwa moja Kampuni ya Bia Tanazania...
Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti.
Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu...
SAUT wamehairisha masomo ili kwenda kumpokea Rais ambae anakwenda mkoan Mara kwenye sherehe za miaka 45 ya CCM.
Hii nimeona ni Jambo kidogo la ajabu, kwa kuwa Rais anapita tu mwanza kwenda mara...
- Avikabidhi kwa kila Halmashauri kwaajili ya kutumika hospitalini.
- Asema msaada huo Ni Matokeo ya jitiada za Rais Samia Suluhu Hassan kudumisha mahusiano ya Kidiplomasia.
- Kontena nyingine 6...
Just the other day, we learnt that a minister in the current government actually owns a gemstone mine. This gives us the impression that we probably have a cabinet full of ministers who are...
Kuna vituo kadhaa vya afya manispaa ya Ilala makusanyo ya mapato amabyo wagonjwa wanachangia huduma hayana udhibiti wa kutosha wa kutosha
Kiasi kwamba mapato yanaliwa na watendaji wa...
Jana nimetizama tv huko Liberia ni sawa na Tanzania idara ya afya imekuwa ikidharauliwa kimaslai ndio maana wagonjwa wengi wamepoteza maisha kwa kukosa huduma bora za kiafya na imesababisha sana...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kuchunguza kwa miezi sita, Idara ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kutokana na kuwapo malalamiko kutoka kwa wananchi, ikiwamo...
Kumekuwepo na muingiliano wa kamajukumu au mgawanyo mbaya wa makukumu kati ya Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii etal na OR TAMISEMI juu ya kusimamia utoaji wa huduma za Afya katika ngazi za Mikoa...
Miezi michache iliyopita NHIF kwa kushirikiana na Maxcom walianzisha mradi wa majaribio ya utunzaji wa kumbukumbu za hospitali (HMIS) na hospitali chache zilichaguliwa kwa majaribio. Mfumo huu...
Hivi karibuni manispaa ya Tabora imepokea Daktari mkuu wa manispaa Dr Yombo baada ya alie kuwapo awali Dr Rashidi Mfaume kuhamishiwa katika mkoa wa Shinyanga.
Mara baada ya kufika na kuripoti...
Ninaandika haya kwa uchungu kwa sababu imekuwa ni kawaida sana Manispaa ya Kigoma kuona mambo mengi yakifanyika bila kufuata miongozo iliyowekwa na serikali tukufu ya mh Rais.
Imekuwa ni kawaida...
Naomba kuuliza kwa wataalamu wa Utendaji wa Kijeshi na Sera kwa upande wa Polisi, kwanini hakuna cheo cha Makamu wa Kamishna Jenerali wa Polisi na kituo chake cha kazi asimamie Tanzania Visiwani (...
Wakuu,
Halmashauri ya Mji wa Masasi Mkoani Mtwara, imepiga marufuku watumishi idara ya afya kuwaita Vongozi wao kwa kutumia neno Boss.
Wametakiwa kutumia neno Mkuu, Kiongozi , Madam/Sir kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.