Hongereni CHADEMA, mnaishi kama familia kwenye shida na Raha; CCM ukipata janga unaondolewa kwenye ukoo

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali chama, mke wa mtuhumiwa kafika mahakama wamemchangia nauli, wakati watuhumiwa wanaondoka saa kumi na moja nyimbo za bashasha zinaimbwa. IL sense ya upendo unaiona wazi, sense ya umoja unaiona na spirit yakupambania haki unaiona.

Kwa upande wa pili CCM ukipata tatizo wote wanakukataa; walijitenga na Nape, Januari wakamkimbia Makonda, Sabaya kakosa msaada yeye na nduguze jela huko na juzi wamemtenga Mzee Ndugai. Unapozungukwa na watu ambao wao ni ndugu zako ukiwa na madaraka na ukiyapoteza siyo nduguzo yuo need to watch out.

Natambua kwanini wote wanaopata matatizo wanatengwa; ni kwa sababu mfumo wao ni sogea nikae. Na nikikaa nakaa na watu wangu sikai alone.

That solidarity Ndani ya Chadema natamani iwe solidarity ya Taifa. Lakini hawana solidarity kwa kila mtu wanasolidarity kwa anayeonewa. Nape alionewa wakamsemea, Mo akapata matatizo wakamsemea, ndugai kakosea utaratibu walisema so huu umoja na nguvu ya Chama hiki utakifikisha mbali.

Changamoto ya CCM ni Kwamba watu wao wakiwa wanakosea awawaambii, wakitumbiliwa pia inawawia vigumu kuwatetea Kwa sababu wanajua hawa ni waovu.
Hatuwezi kujenga taifa lakusubiri wakubwa watufundishe namna ya kuwaza. Lazima CCM iruhusu kuzalishwa kwa wanachama wanaoweza kupinga uovu kama wanavyofanya Chadema. Kinyume chake utegemezi wa dola utakuwa mkubwa sana na dola ikichoka lazima chama life
 
Sema Hongereni wachaga na si CHADEMA. Nenda kesho kutwa kwa maana ya Jumatatu fanya kazi ya kuuliza wanakotoka hao watu waliojaa Mahakamani kisha utajua naongea nini.
 
Kwa hiyo unasema hamna mchaga aliye mwanachama wa Chadema?

Amandla...
 
Sema Hongereni wachaga na si CHADEMA. Nenda kesho kutwa kwa maana ya Jumatatu fanya kazi ya kuuliza wanakotoka hao watu waliojaa Mahakamani kisha utajua naongea nini.
Yaani we ji bonge la punguani! Badala ujifunze na kutafakari kwa nini hali iko vibaya kwa maccm wewe unabwabwaja?
 
Sema Hongereni wachaga na si CHADEMA. Nenda kesho kutwa kwa maana ya Jumatatu fanya kazi ya kuuliza wanakotoka hao watu waliojaa Mahakamani kisha utajua naongea nini.
Umenyoosha mstari kaka mkubwa.
 
Hujaelewa au akili finyu? Nani kasema hakuna mchaga aliye mwanachama wa chadema?
Chadema ni icon ya wachaga tupu.
Pale mahakamani asiye kuwa mchaga basi kaoa au kaolewa na mchaga.

Huo ndio ukweli 100%

Mengine...blah..blah!
 
Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali chama, mke wa mtuhumiwa kafika mahakama wamemchangia nauli, wakati watuhumiwa wanaondoka saa kumi na moja nyimbo za bashasha zinaimbwa. IL sense ya upendo unaiona wazi, sense ya umoja unaiona na spirit yakupambania haki unaiona.

Kwa upande wa pili CCM ukipata tatizo wote wanakukataa; walijitenga na Nape, Januari wakamkimbia Makonda, Sabaya kakosa msaada yeye na nduguze jela huko na juzi wamemtenga Mzee Ndugai. Unapozungukwa na watu ambao wao ni ndugu zako ukiwa na madaraka na ukiyapoteza siyo nduguzo yuo need to watch out.

Natambua kwanini wote wanaopata matatizo wanatengwa; ni kwa sababu mfumo wao ni sogea nikae. Na nikikaa nakaa na watu wangu sikai alone.

That solidarity Ndani ya Chadema natamani iwe solidarity ya Taifa. Lakini hawana solidarity kwa kila mtu wanasolidarity kwa anayeonewa. Nape alionewa wakamsemea, Mo akapata matatizo wakamsemea, ndugai kakosea utaratibu walisema so huu umoja na nguvu ya Chama hiki utakifikisha mbali.

Changamoto ya CCM ni Kwamba watu wao wakiwa wanakosea awawaambii, wakitumbiliwa pia inawawia vigumu kuwatetea Kwa sababu wanajua hawa ni waovu.
Hatuwezi kujenga taifa lakusubiri wakubwa watufundishe namna ya kuwaza. Lazima CCM iruhusu kuzalishwa kwa wanachama wanaoweza kupinga uovu kama wanavyofanya Chadema. Kinyume chake utegemezi wa dola utakuwa mkubwa sana na dola ikichoka lazima chama life
Mungu ibariki Chadema

FB_IMG_1619042485662.jpg
 
Nyama wee
Yaani nimecheka kwa nguvu mkuu. Yaani thread ina funzo kabisa mtu haoni yeye anawaza Ukabila. Pale wanaohudhuria ni makabila tofauti. Tumuulize na Yule mtoa dondoo za yanayojiri Mahakamani ni Mchaga? Anyway simfahamu hivyo sina Uhakika na kabila lake. Siku zote tukubali kukosolewa. Sisi CCM ukikosa support inakuwa ya mbali maana ukigundulika wewe ni mfuasi wa Fulani ndani ya Chama na amepata tatizo ukionekana naye ni Shida. Mfano Kwa sasa hakuna atakayethubutu mchana kweupe kuonekana na Ndugai. Hata simu watu watatumia za kuazima au zilizosajiliwa na NID ya mtu mwingine. Take my words
 
Sema Hongereni wachaga na si CHADEMA. Nenda kesho kutwa kwa maana ya Jumatatu fanya kazi ya kuuliza wanakotoka hao watu waliojaa Mahakamani kisha utajua naongea nini.
Unajitia aibu kwa faida ya nani ? maana kwenye wanaccm wewe na ukoo wako wote hamumo .
 
Chadema ni icon ya wachaga tupu.
Pale mahakamani asiye kuwa mchaga basi kaoa au kaolewa na mchaga.

Huo ndio ukweli 100%

Mengine...blah..blah!
Uongo utakusaidia nini wewe masikini ? Hivi Mwamakula kaoa mchaga yupi ?
 
Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali chama, mke wa mtuhumiwa kafika mahakama wamemchangia nauli, wakati watuhumiwa wanaondoka saa kumi na moja nyimbo za bashasha zinaimbwa. IL sense ya upendo unaiona wazi, sense ya umoja unaiona na spirit yakupambania haki unaiona.

Kwa upande wa pili CCM ukipata tatizo wote wanakukataa; walijitenga na Nape, Januari wakamkimbia Makonda, Sabaya kakosa msaada yeye na nduguze jela huko na juzi wamemtenga Mzee Ndugai. Unapozungukwa na watu ambao wao ni ndugu zako ukiwa na madaraka na ukiyapoteza siyo nduguzo yuo need to watch out.

Natambua kwanini wote wanaopata matatizo wanatengwa; ni kwa sababu mfumo wao ni sogea nikae. Na nikikaa nakaa na watu wangu sikai alone.

That solidarity Ndani ya Chadema natamani iwe solidarity ya Taifa. Lakini hawana solidarity kwa kila mtu wanasolidarity kwa anayeonewa. Nape alionewa wakamsemea, Mo akapata matatizo wakamsemea, ndugai kakosea utaratibu walisema so huu umoja na nguvu ya Chama hiki utakifikisha mbali.

Changamoto ya CCM ni Kwamba watu wao wakiwa wanakosea awawaambii, wakitumbiliwa pia inawawia vigumu kuwatetea Kwa sababu wanajua hawa ni waovu.
Hatuwezi kujenga taifa lakusubiri wakubwa watufundishe namna ya kuwaza. Lazima CCM iruhusu kuzalishwa kwa wanachama wanaoweza kupinga uovu kama wanavyofanya Chadema. Kinyume chake utegemezi wa dola utakuwa mkubwa sana na dola ikichoka lazima chama life

Ulipaswa kuishia kwenye kuwapongeza tu kwa support yao kwa watuhumiwa. Hizo comparisons ulizofanya ni zao la uzembe wa kufikiri tu.

Ni mwanachama gani amewahi kusimama upande tofauti na upande alikosimama Mbowe na CHAGGADEMA yake halafu akaendelea kukumbatiwa na wanachama wengine wa hicho chama? Zitto? Kitila? Mwambe? Dr. Slaa? Lowassa? Sumaye? Tupe mfano wa mtu wa aina hiyo!
 
Back
Top Bottom