Kumekuwepo na muingiliano wa kamajukumu au mgawanyo mbaya wa makukumu kati ya Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii etal na OR TAMISEMI juu ya kusimamia utoaji wa huduma za Afya katika ngazi za Mikoa na halmashauri.
Kitendo cha muingiliano ama mgawanyo wa majukumu kati ya hizo wizara mbili sasa kumesababisha mabishano katika teuzi za wakuu wa Idara za Afya katika ngazi za Mikoa na Halmashauri.
Habari za ndani zinasema kuwa Wizara ya Afya ilishatoa mapendekezo ya Watumishi wenye sifa za kujaza nafasi za wakuu wa Idara za Afya katika Mikoa zaidi ya 10 na Halmashaur zaidi ya 98 kwa muda mrefu sasa lakini TAMISEMI chini ya NAIBU KATIBU MKUU AFYA HAWAJAFANYA KAZI MAPENDEKEZO ya teuzi za WAGANGA WAKUU WA MIKOA.Na kuacha mikoa zaidi ya 10 haina RMOs wenye sifa kulingana na sifa zilizotolewa.
Aidha kusipokuwepo na Mgawanyo mzuri wa majukumu kati ya TAMISEMI AFYA NA WIZARA YA AFYA NA MANDELEO YA JAMII Kutaathiri utendaji kazi wa Idara za Afya katika Mikoa na na Halmashauri kwa watashindwa kujua wa Report kwa nani na watekeleze amri ya Bosi upi.