Mtwara: Wafanyakazi Idara ya Afya wapigwa Marufuku kutumia neno "Boss"

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
876
1,000
Wakuu,

Halmashauri ya Mji wa Masasi Mkoani Mtwara, imepiga marufuku watumishi idara ya afya kuwaita Vongozi wao kwa kutumia neno Boss.

Wametakiwa kutumia neno Mkuu, Kiongozi , Madam/Sir kama ilivyo JamiiForums

IMG_20201220_181426_032.jpg
 

Munamuge

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
721
1,000
Hili tamko mbona kama linajirudia, ama akili yangu ndo imedanganyika? Nakumbuka kauli kama huko Masasi miaka kadhaa iliyopita
 

Chabrosy

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,861
2,000
Aisee mbn sisi uku makambini wakuu wetu tuna waita maboss kama kawaida...ni ushamba uwo...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom