Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi.
Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo...
Wakurungwa kwema?
Miaka mingi iliyopita wabunge wa upinzania Huwa hawakubali kumpigia Kura mtu aliyepitishwa na chama Cha CCM kuwa Spika wao.
Sasa kwa hao wabunge wanaoitwa Covid19 kama watapiga...
02 February 2022
Dodoma, Tanzania
SIKU YA SHERIA
Tanganyika Law Society TLS ambacho kilikuwa chama huru cha wanataaluma ya sheria kukubali kuhamia Dodoma makao makuu huku kikiwa na jengo lake la...
Nimefuatilia kwa karibu yanayojiri kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu na kugundua kuwa DCI na Criminal Investigation Department (CID) yake hawana maarifa ya kutosha...
Kila Chama chenye Uwakilishi Bungeni kinachokusudia kushiriki, kinashauriwa kuanza mchakato wa kumpata Mgombea miongoni mwa Wabunge wake
Jina la Mgombea linapaswa kuwasilishwa kwa Msimamizi wa...
Kutoka Dodoma.
"Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, ambao wakikaa na simu wanaperuzi mitandaoni tu".
"Nafikiri labda tuongeze kodi labda itapunguza hata sijui, hivi tufanye kitu gani ili...
Nimepishana na basi lililobeba machifu wa mikoa ya Mbeya na Songwe wakielekea mkoani Mara kuungana na Chifu mkuu Hangaya kusherehekea miaka 45 ya kuzaliwa CCM.
Inavyoonekana sherehe za mwaka huu...
Taarifa inatolewa kwamba Mzee Juma Duni Haji akiambatana na Shehe Issah Ponda leo tarehe 18/12/2021 wamefika kwenye Gereza la Ukonga ili kumjulia hali Mwamba Freeman Mbowe , ambaye amewekwa jela...
Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya...
Haya mambo ya kukusanya wanachama wa chama kimoja na kuwagawia kadi za vyama mamluki ili wagombee uspika ionekane nchi ina demokrasia , huku ikifahamika wazi kwamba ni uongo , yanadhalilisha nchi...
Alipaswa hili swala alizungumzie kwenye ofisi Yake ndogo DSM. Ameenda mbali zaidi na kusema hizo channel za bure zitakuwepo kwenye jicho king'amuzi.
Makampuni Mengine yata hisi amebadilisha...
Ni kwanini Viongozi wa Ukoloni walikuwa wanaletwa tu kwa nguvu na siyo kushiriki Uchaguzi kwenye nchi walizotawala ?
Wananchi hawakuamua chochote waliletewa Gavana kutoka mbali kuwatawala na huyo...
Habari Wakuu,
Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio amemaliza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama...
Baada ya ushahidi wa Luteni Denis Urio kwa upande wa Jamhuri kesi ya Mbowe ambayo imefikisha mashahidi 12 sasa inaweza kuamuliwa na Jaji. Shahidi aliyekuwa muhimu kuliko wote na ambaye anaweza...
Wanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana...
Kihistoria,Wilaya ya Manyoni ndio Wilaya ya kwanza Tanzania kuwa na DC wa kwanza Mwafrica|Mtanzania kwa lugha nyepesi Manyoni ni miongoni mwawilaya za kwanza kwanza kuasisiwa kabla hata ya Uhuru...
Huwezi kulinda Kwa moyo kitu usichokifahamu vizuri. Ukiteuliwa Leo unaapishwa kesho kulinda katiba, wapo wanaopa kulinda katiba wasiyoifahamu inasema nini na inataka nini, ndiyo maana watu...
Ni ushauri tu.
Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika.
Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria inawaalika wadau kutoa maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 7 wa Mwaka 2021 (The Written Laws...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.