Kuna vituo kadhaa vya afya manispaa ya Ilala makusanyo ya mapato amabyo wagonjwa wanachangia huduma hayana udhibiti wa kutosha wa kutosha
Kiasi kwamba mapato yanaliwa na watendaji wa halmsahuri kwa kuandikwa madodoso hewa.,manunuzi hewa ya dawa.kwa mfan
O ni kituo cha afya gongo la mboto ukonga,pugu kajiungeni,majohe na vingunguti.mganga ndiyo anayefanya matumizi yote mwenyewe.
Nashauri pia halmashauri iimarishe udhiti wa mapato hayo ikiwa ni pamoja na kutuma wakaguzi wake wa ndani.ijapo kuwa nao pia
Wako corupt.labda CAG anweza kufuatilia hii pia wakati wa ukaguzi.hivyo vi report vyote vinaovyotumwa kila mwezi ni fake tu.
Pia waranyakazi wote wasio na vitambulisho va kazi wanatakiwa kulipia ili kupa vitambulisho.sasa uhakika kwamba hela iyo inawlkwenda wapi ndiyo haijulikani.
Ole wako uwe una madai yoyote mfano malipo ya likizo au kubadilishiwa daraja pale kwa mkurugenzi.utapiga trip mpaka ukome.yaani kuna mazingira ya usumbufu kuanzi kwa masijala mpaka kwa watendaji.yaani ni Miungu watu