Mpwapwa: Mahakama yamwachia huru Mgombea Udiwani wa CHADEMA aliyeshitakiwa kwa kosa la Unyang'anyi wa kutumia Silaha tangu Septemba 2020

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,001
Mahakama_ya_Wilaya_ya_Mpwapwa_imewaachia_huru_mgombea_udiwani_wa_kata_ya_Gulwe_na_wenzake_wann...jpg

Mgombea udiwani wa Kata ya Gulwe kwa tiketi ya Chadema na wenzake wanne , Walikamatwa 13/9/2020 kwa amri ya WAKUBWA na kubambikiwa kesi ya uongo ya unyang'anyi wa kutumia silaha , Wakaswekwa rumande bila dhamana ili kusaidia Mgombea wa ccm kupita bila kupingwa .

Yaani Uchaguzi wa kata , tena kata yenyewe ya huko porini Mpwapwa inasababisha mtu ambaye hajawahi hata kumiliki bisibisi ya kufungulia feni anapewa kesi nzito ya unyang'anyi wa kutumia silaha ! Unyama kama huu ndio waliofanyiwa Wagombea wote wa Chadema Nchi nzima , Huu ndio Uchaguzi huru na wa haki uliosimamiwa na Dr Mahera , Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ambaye sasa anapigiwa chapuo ya kuongoza TUME HURU YA UCHAGUZI , KWA DEBE LA CCM na mshirika wao ACT .

Bali kama tulivyosema siku zote kwamba SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU , ndivyo ilivyotokea kwa Watuhumiwa hawa wa Kesi ya Uongo LEO WAMEACHIWA HURU NA MAHAKAMA YA WILAYA YA MPWAPWA .

Tunachopaswa kujua ni kwamba , KILA UBAYA ULIOWATENDEA WENZAKO IKO SIKU UTALIPWA , muda ndio mwamuzi .
 
Karibuni uraiani makamanda.
 
KWA HIYO UNAAMINI KUWA MAHAKAMA ZINATENDA HAKI SI NDIYO?
 
Jina lake ni nani?
 
Back
Top Bottom