Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ushabiki wa siasa pembeni lakini huyu mama ana mvuto sana na tayari anaonekana kama first lady tayari. Hii ni leo akiwa Kahama na mumewe. Mimi ni Msukuma na nayajua madhila ya vikongwe hawa...
19 Reactions
86 Replies
17K Views
Salaam Wakuu salaam Tumsaidie Rais Magufuli kutafuta Watendaji wenye Uchungu na Nchi Watetezi wa Wanyonge. Kumbuka sisi Wanachama wa JamiiForums ndio tulimpendekeza Sirro kwa Rais na akateuliwa...
10 Reactions
116 Replies
21K Views
Japokuwa Spika mstaafu Ndugai alisema aliyakagua madarasa yote moja baada ya lingine na kujiridhisha kuwa hakuna ufisadi lakini ukiyaangalia kwa makini yale madirisha ya aluminium utagundua kuna...
0 Reactions
7 Replies
537 Views
Wakati mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu kama Mo alipotekwa, polisi wetu walifanya kazi nzuri sana kumtafuta ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watekaji. Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja. Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna...
0 Reactions
15 Replies
932 Views
Maendeleo hayana vyama. Kiukweli kabisa Mchungaji Msigwa na Meya Kimbe walijitahidi sana kuyabana majizi pale manispaa ya Iringa ndio maana hata stendi ku ya Igumniro ilifanikiwa kujengwa chini...
1 Reactions
7 Replies
824 Views
Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 45 ya CCM, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema kwa kipindi chote hicho CCM kimeendelea kuwa chama sikivu na makini kinachojali majadiliano...
0 Reactions
6 Replies
737 Views
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’ Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake. Kabla ya...
6 Reactions
146 Replies
16K Views
King msukuma bila kupepesa macho ametoa ya moyoni mbele ya Waziri wa TAMISEMI baada ya kubaini upigaji wa mamilion ya pesa yaliyopigwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita.
7 Reactions
96 Replies
9K Views
Muheshimiwa Rais, Bila shaka una taarifa juu ya mauaji yaliyofanywa na maafisa 7 wa Polisi. Ni taarifa ambayo imewashtua wengi kwa kuwa imetoka hadharani lakini tabia hii ya ujambazi na kudhulumu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KISHINDO CHA KATIBU MKUU UVCCM KENANI KIHONGOSI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA KUZALIWA CCM KWA UVCCM KITAIFA WILAYA YA TARIME MKOA WA MARA Tarehe 3 Februari 2022 Katibu Mkuu wa Umoja wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar, Zubeir Juma Khamis kuanzia leo November 03,2021.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Salaam. Kwa wale wanaofuatalia AFCON kule Cameroon watakubaliana na mimi kuwa Cameroon wametuacha sana kwenye suala la viwanja vya kisasa. Viwanja vyao viko vizuri ni level za Ulaya. Je, sisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ili kupunguza mzigo wa kazi, huwa anawaambia Wasaidizi wake kufanya maamuzi kwenye masuala yaliyo ndani ya uwezo wao. Amesema huenda ni uoga, lakini...
12 Reactions
84 Replies
6K Views
Ni takribani miezi mitano inashuhudia nchi ya Tanzania ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hasani Kuna Mengi watu wasioyafahamu juu yake na ukweli ulio wazi juu ya kiongozi huyu mashuhuri wa Tanzania...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa kuwa hii ni jambo forums na ilikuwa inapiga kazi toka 2005 naamini kuwa hili swali dogo hamshindwi kupata majibu yake maana mmliweza kuibua makubwa zaidi Lakini swali ni je hii ndege ni ya...
30 Reactions
178 Replies
79K Views
Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni. 1. Kulipa fadhila kwa Babu. Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo...
15 Reactions
44 Replies
5K Views
Kuna kila dalili Luteni Urio alikuwa na mpango wa kula hela za Mbowe kupitia wale vijana na wakati huo huo alikuwa na matarajio kuwa CHADEMA ingeshinda angepata ukubwa Jeshini. Hilo lina asilimia...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
Hii Saccos ya Bumbuli Development Corporation ipo Jimboni Bumbuli kwa Marope mdogo au ni ya wapi? Ndani ya Mwaka mmoja wamelamba 2.4 billion mikopo ya NSSF kinyume na kanuni Ama Kweli NSSF...
6 Reactions
117 Replies
12K Views
Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapo utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika. Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazi. Nani atatufaa? Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom