Serikali za Tanzania na Indonesia zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha huduma za afya kwa faida ya pande zote mbili.
Hayo yamebainika Machi 8, 2022 ambapo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu...
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amesema kwa muda mfupi wa Uongozi wa Rais Samia Suluhu, Wilaya yake imepokea Mabilioni ya fedha ambayo hayakuwahi kuletwa kwenye...
Diwani wa kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza...
Ndugu wana Jukwaa la siasa naomba kutoa maoni yangu kuhusu siasa za upinzani nchini.
Wananchi wa Tanzania tangu siasa za upinzani mwaka 1992 ziasisiwe wamekua na ushabiki wa maneno na wa rohoni...
Kuanzia awamu ya tatu tulianza kushuhudia dini na viongozi wa dini wakipewa nafasi ya mbele katika uwanja siasa nchini na karibia kila matukio ya kiserikali yanayohusu hadhara imekuwa nadra...
Tayari mambo yameanza na Wageni kadhaa wamekwishafika ndani ya ukumbi , huku wajumbe wa BAWACHA wakiwa wamejaa ndani ya Ukumbi na kwa kweli wamepiga pamba ya nguvu sana na Wamependeza sana .
Hivi karibuni ilichapwa makala ya kitaaluma na Dk Victoria Lihiru, mhadhiri katika Chuo Kikuu Huria cha Dar es Salaam iliyojaribu kuonesha udhaifu uliopo katika mfumo wa kuwapata wagombea wa viti...
Wakuu Kwema.
Wiki iliyopita nilikuwa kwenye sherehe ya Harusi ambayo maharusi ni wanachama wa CHADEMA na CCM.
MC akaitisha challenge baina ya CCM na CHADEMA kulingana na maharusi.
Waliaanza...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Jumatano Tarehe 09/03/2022
Salaam Wakuu,
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda, amesema Takwimu zinaonyeshwa kwamba Kaya zenye Wazazi Waliosoma, zina Usitawi kuliko familia za Wazazi ambao hawajasoma...
Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za...
Ni lazima wajitokeze watubu na kuwaomba radhi waTanzania walio wengi kutokana na kadhia ya Uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiejua kilichotokea.
Watafanya mengi mazuri ya kufurahisha lakini...
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa viongozi katika Wizara za elimu, Uchumi na Uwekezaji na wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Taarifa iliyotolewa na...
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari
Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba...
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Mwenda amewaomba Waandishi wa historia kuendelea kuenzi na kuthamini mchango uliotolewa na wanawake kabla na baada ya Tanzania kupata uhuru...
Kitendo cha Jaji Joachim Tiganga aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake watatu kuamua kuwa wana kesi ya kujibu na baadaye serikali kupitia kwa DPP kusema hawana nia ya...
08 March 2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi leo amepangua Baraza la Mawaziri. Ateua mawaziri 4 wapya na wanane wamebadilishwa vituo vya kazi. Pia...
Binafsi naona kuna mabadiliko mengi chanya. Nawapongeza kwa kweli.
Kwa mfano Nape Nnauye Waziri wa habari na tehama amefungulia magazeti yaliyofungiwa amerudisha channel ya Citizen kwenye...
Hakika kuna mengi ya kunifunza kutoka kwa Mwamba huyu. Pamoja na mateso yote ya miezi zaidi ya 7 Mbowe hakupata kupiga goti mbele ya watesi wake wala kumwaga chozi bali ilikuwa ni tabasamu na...
Wakili wa mmoja wa watu wanoshtakiwa pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha amejiondoa kumtetea mteja wake.
Wakili Fridoline Bwemelo...