Jaji Joachim Tiganga ameikosesha Mahakama point tatu muhimu dhidi ya Serikali

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,793
12,238
Kitendo cha Jaji Joachim Tiganga aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake watatu kuamua kuwa wana kesi ya kujibu na baadaye serikali kupitia kwa DPP kusema hawana nia ya kuendelea na kesi kimeidhalilisha sana mahakama.

Endapo Jaji Tiganga angemaliza kesi hii mara baada ya Jamuhuri kumaliza ushahidi wake kwa kuamua kuwa akina Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu, mahakama ingejijengea heshima kubwa sana kwa Watanzania na Dunia kwa ujumla. Hivi sasa mahakama imedhihirisha haiko huru na inategemea maoni ya serikali kuamua kesi.

Udhaifu huu wa mahakama umemfanya Samia kuwa shujaa (heroine) na kijizolea sifa asizostahili ndani na nje ya nchi. Sifa ambazo mahakama ingezipata kama ingetoa hukumu ya haki.

Jaji Mkuu anapaswa kujitafakari sana na hasa kwa kauli yake ya kuwataka majaji kutoa hukumu kwa kuzingatia maoni ya Jamuhuri.
 
1.Jamhuri wakaishia njiani kuleta mashahidi waliokuwa nao!
2.Jamhuri wakataka kujua majina na anuani za mashahidi wa utetezi!
3.Siku Moja kabla ya Mbowe kuanza kujitetea,Rais anakutana na viongozi wa dini na anaombwa amalize suala la Mbowe Kwa kumsamehe!
4.Siku Moja baadaye,Magereza wanasema Mbowe ni mgonjwa hivyo hawakuweza kumfikisha mahakamani!
5.Kibatala anasema hana taarifa ya mteja wake kama ni mgonjwa,anaomba basi kama ni hivyo kesi iahirishwe mpaka j3.
6.Mawakili wa serikali waomba kuwasilisha Nia DPP kutoendelea na kesi!
7.Jaji Kwa hasira,anatoa amri Mbowe aachiwe siku hiyo hiyo na si vinginevyo!
8.Mbowe anaachiwa akiwa mzima wa afya na si mgonjwa kama ilivyodaiwa na magereza!

Umejifunza Nini?
 
Magereza walikuwa na taarifa zote za kuachiwa Mbowe
 
Ulitaka MahKama ipate sifa halfu kiongoz wa nchi adhalirike
 
Sasa Kama mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu mlitaka mahakama iseme hana hatia?
 
Kitendo cha Jaji Joachim Tiganga aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake watatu kuamua kuwa wana kesi ya kujibu na baadaye serikali kupitia kwa DPP kusema hawana nia ya kuendelea na kesi kimeidhalilisha sana mahakama.

Endapo Jaji Tiganga angemaliza kesi hii mara baada ya Jamuhuri kumaliza ushahidi wake kwa kuamua kuwa akina Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu, mahakama ingejijengea heshima kubwa sana kwa Watanzania na Dunia kwa ujumla. Hivi sasa mahakama imedhihirisha haiko huru na inategemea maoni ya serikali kuamua kesi.

Udhaifu huu wa mahakama umemfanya Samia kuwa shujaa (heroine) na kijizolea sifa asizostahili ndani na nje ya nchi. Sifa ambazo mahakama ingezipata kama ingetoa hukumu ya haki.

Jaji Mkuu anapaswa kujitafakari sana na hasa kwa kauli yake ya kuwataka majaji kutoa hukumu kwa kuzingatia maoni ya Jamuhuri.

Wacha kupotosha Umma wa watanzania.

Chadema hiyo hiyo ndio mliomtuma makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu kwenda kumuombea msamaha huko Ubelgiji.

Ni Chadema hao hao mliomtuma Askofu mkuu KKKT Gideon Shoo akiandamana na Kada mtiifu wenu Askofu Dk Benson Bagonza.

Kumuomba Mh Rais kumuachia huru Mbowe.

Kisheria hiyo kesi kama ingeanza kusikilizwa,kulikuwa Ni no Point of Return.

Wafuasi wa Chadema busara zenu ndogo sana.

Mkipewa fare deal bado mnaendekeza chokochoko tu.

Ndio maana maaskofu makini wa TEC walikataa kuhudhuria kikao kile ili kulinda heshima zao.
 
Like li Joji sijui li Jaji ni lipumbavu sana. Lilivyokuwa linacrush mapingamizi na hoja za akina Kibatala nikajua tu linafanya kazi kupitia memo zitokazo Magogoni.

Lilikuwa linajua ile kesi haina mwelekeo ila lilivyo senge lilikuwa tayari kumfunga Mbowe (ikiwa Jamhuri ingetaka hivyo). Ndo maana kazi za Upolisi,Jeshi,Mahakama,n.k sikuwahi kuzipenda maana kuna wakati unalazimika kutotumia akili yao na utu wako.
 
1.Jamhuri wakaishia njiani kuleta mashahidi waliokuwa nao!
2.Jamhuri wakataka kujua majina na anuani za mashahidi wa utetezi!
3.Siku Moja kabla ya Mbowe kuanza kujitetea,Rais anakutana na viongozi wa dini na anaombwa amalize suala la Mbowe Kwa kumsamehe!
4.Siku Moja baadaye,Magereza wanasema Mbowe ni mgonjwa hivyo hawakuweza kumfikisha mahakamani!
5.Kibatala anasema hana taarifa ya mteja wake kama ni mgonjwa,anaomba basi kama ni hivyo kesi iahirishwe mpaka j3.
6.Mawakili wa serikali waomba kuwasilisha Nia DPP kutoendelea na kesi!
7.Jaji Kwa hasira,anatoa amri Mbowe aachiwe siku hiyo hiyo na si vinginevyo!
8.Mbowe anaachiwa akiwa mzima wa afya na si mgonjwa kama ilivyodaiwa na magereza!

Umejifunza Nini?
Mbowe alipewa ugonjwa ili asiondokee mahakamani kama mtu huru. Shangwe lake lingekuwa ni kama dhihaka.
 
Kitendo cha Jaji Joachim Tiganga aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake watatu kuamua kuwa wana kesi ya kujibu na baadaye serikali kupitia kwa DPP kusema hawana nia ya kuendelea na kesi kimeidhalilisha sana mahakama.

Endapo Jaji Tiganga angemaliza kesi hii mara baada ya Jamuhuri kumaliza ushahidi wake kwa kuamua kuwa akina Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu, mahakama ingejijengea heshima kubwa sana kwa Watanzania na Dunia kwa ujumla. Hivi sasa mahakama imedhihirisha haiko huru na inategemea maoni ya serikali kuamua kesi.

Udhaifu huu wa mahakama umemfanya Samia kuwa shujaa (heroine) na kijizolea sifa asizostahili ndani na nje ya nchi. Sifa ambazo mahakama ingezipata kama ingetoa hukumu ya haki.

Jaji Mkuu anapaswa kujitafakari sana na hasa kwa kauli yake ya kuwataka majaji kutoa hukumu kwa kuzingatia maoni ya Jamuhuri.

Ndiyo. Au angemgomea DPP na kumtaka aendelee na kesi kwa maslahi ya Taifa. Kama alikwisha thibitisha kwamba Mbowe na wenzake wana kesi ya 'ugaidi' yakujibu, ni aibu kubwa kuifuata kwa urahisi namna hiyo.
 
Back
Top Bottom