Mbowe hajatoa chozi kwenye mateso, katoa chozi nyumba ya Mungu

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,702
71,013
Hakika kuna mengi ya kunifunza kutoka kwa Mwamba huyu. Pamoja na mateso yote ya miezi zaidi ya 7 Mbowe hakupata kupiga goti mbele ya watesi wake wala kumwaga chozi bali ilikuwa ni tabasamu na ucheshi.

Lakini siku ya kwanza kutoka gerezani na kuingia kanisani kutoa shukrani ya pekee kwa Mungu kamwaga chozi mbele za Mungu wake. Nini maana yake?

Kwake Mungu ndio kimbilio na nguvu, msaada unaopatikana wakati wa shida na haogopi lolote linalotendwa nje ya mapenzi ya Mungu.

What kind of a leader this man is? Great man!

Oneni tofauti ya hizo picha.

20220307_093623.jpg
FB_IMG_1646634109900.jpg
 
Kwake Mungu ndio kimbilio na nguvu, msaada unaopatikana wakati wa shida na haogopi lolote linalotendwa nje ya mapenzi ya Mungu.
What kind of a leader this man is? Great man
Hakika
==
Mwenyekiti wa CHADEMA, @freemanmbowetz akizungumza Jana Jumapili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ushirika wa Azania Front alipokwenda kutoa sadaka ya shukrani
===
 
Hakika kuna mengi ya kunifunza kutoka kwa Mwamba huyu. Pamoja na mateso yote ya miezi zaidi ya 7 Mbowe hakupata kupiga goti mbele ya watesi wake wala kumwaga chozi bali ilikuwa ni tabasamu na ucheshi.
Lakini siku ya kwanza kutoka gerezani na kuingia kanisani kutoa shukrani ya pekee kwa Mungu kamwaga chozi mbele za Mungu wake. Nini maana yake?
Kwake Mungu ndio kimbilio na nguvu, msaada unaopatikana wakati wa shida na haogopi lolote linalotendwa nje ya mapenzi ya Mungu.
What kind of a leader this man is? Great man!

Oneni tofauti ya hizo picha.

View attachment 2141822View attachment 2141823
Mbowe is a Genuine and Obedient of Truth,therefore his tears means a lot.
Praise the Lord for all Freedom Fighters.
Let's go for The New Better Constitution of Our beloved Country-United Republic of Tanzanians.
 
Kasomi , itakuwa hujamfahamu vizuri Mh. Mbowe, Soma comment za wanao mfahamu Mh. Mbowe wana sema nini.
==👇
View attachment 2141839
Naunga mkono mawazo yao lakini nitajaribu kuwapinga kidogo.

Mwaka 2020 wakati wa kampeni za ufungizi kwa Chadema mbowe alijishushia busara kwa kuwafukuza kama mbwa waandishi wa TBC.

Je, Mtu mwenye busara anaweza fanya hivyo? Tena akiwa live
 
Kwani pastor anapofukuza mapemo kwa Jina la Yesu anakuwa hana hakima au busara
Kumbuka hii hauna uhusiano na mada hii
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom