Mahakama Kuu imemteua Jaji Joachim Tiganga kutoka Kanda ya Mwanza kuendelea kusikiliza Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,662
218,149
Mahakama_Kuu_imemteua_Jaji_Joachim_Tiganga_wa_Kanda_ya_Mwanza_kuendelea_kusikiliza_kesi_inayom...jpg

Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari

Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI

------
Jaji mpya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomhusisha Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu ni Joachim Tiganga.

Jaji Tiganga amejitambulisha katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi mbele ya washtakiwa na upande wa mashtaka

Kesi hiyo imepangwa kuendelea tena leo Jumanne Oktoba 26, 2021 baada ya kusimama kwa siku saba, tangu Oktoba 20, huku Jaji Kiongozi Mustapha Siyani aliyekuwa akiisikiliza alipojitoa kutokana na kuongezewa majukumu.

Jana Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Ruswa na Uhujumu Uchumi inayosikiliza kesi hiyo ilitoa hati ya wito kwa pande zote katika kesi hiyo kufika mahakamani leo kuendelea na usikilizwaji wa kesi hiyo.

Mbowe na wenzake watatu wanakabiliwa na mashtaka sita yakiwemo ya kula njama na kufadhili vitendo vya kigaidi katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi

Chanzo: Mwananchi
 
View attachment 1987106

Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari

Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI
Majaji wa awamu ya 5, wengi wao hawakuwa judges bali maafisa wa TISS. Hatuna uhakika na huyu lakini ni wa kutiliwa madhaka makubwa.
 
View attachment 1987106

Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari

Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI
Haki ni maamuzi ya mtawala sio mizania za kisheria. Karibu Tanzania, nchi ya maaja u
 
View attachment 1987106

Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari

Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI
Sasa mulitaka Maagufuli asiteuwe Majaji?

Au munataka nao wafe kama livyokufa yeye au waachishwe kazi?

Nanusa harufu ya Ugaidi hapa.
 
kwani siyani alisimama upande wa haki kutupilia mbali kesi ndogo ndiyo akateuliwa kuwa mkuu zaidi?
Awali alijitahidi kusimama kwenye haki! Baada ya Chifu wako kugundua hatari iliyopo mbele yake (ya kuumbuka kutokana na ile interview yake na Kikeke) akaona ampe rushwa ya madaraka!

Na matokeo yake ndiyo hayo ya kutupilia mbali hiyo kesi ndogo! Na aibu ya milele amebaki nayo yeye Siyani! Na dhambi ya kupindisha sheria kwa sababu ya cheo, itamtafuna maisha yake yote.
 
View attachment 1987106

Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari

Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI
Mkuu,kwani kwako wewe Jaji mzuri au utakaye mkubali inategemea na atasimamia upande uutakao au upande wowote ule kufuatana na hukumu ya haki?
 
Erythrocyte jaji atakaye muona wa haki ni yule atakaye muachia huru mbowe tu zaidi ya hayo huyo bibi ataona ni batili sijui anahukum ayari kwahiyo anapigara, mli ikubali
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari

Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI
Mmhh! Sukuma gang na ujaji kapewa na jiwe🤔🤔 hapa ninaanza kusikia harufu fulani ya kitu kilichooza
 
Back
Top Bottom