Mmeshindaje ndugu zangu.. Hapa nazungumzia hawa vijana waliokuwa wanafanya siasa za chuki, dhihaka na kejeli dhidi ya viongozi wa serikali, leo hii wataishije baada ya baba mwenye nyumba wao ambae...
Wakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa...
Habari Member's JamiiForums!
Habari Moderators JamiiForums!
Leo tarehe,
08/03/2022.
Watanzania kupitia vyombo vya habari mbalimbali nchini Tumemsikia Mh Samia Suluhu Hassan,
Mwenyekiti wa CCM...
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Sasa ndugu zangu wa Uvccm...
Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine
Jaji Tiganga alisimama kidete kama mhimili huru kusema Mbowe na wenzie wana kesi ya kujibu...
Hawa wanachama wa Chadema walikamatwa na kuburuzwa Mahakamani, kwa kosa kubwa la kukutwa kwenye kikao cha ndani wakijisajili kwa njia ya kisasa ya CHADEMA DIGITAL.
Leo serikali imetangaza...
Miaka hiyo ya nyuma wimbo huu ulipigwa marufuku na aliyekuwa rais wa kipindi hicho ndugu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Sikumbuki ni bendi gani waliimba ila kiitikio chake kilikuwa "bomoa leo...
HOTUBA YA WAZIRI WA MADINI MHE. DKT. DOTO BITEKO (MB) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA SITA MADARAKANI TAREHE 10 MACHI, 2022 KATIKA...
Baada ya ziara yake ya kutembelea Wananchi kwenye Vijiji mbalimbali Jimboni kwake kusikiliza na kutatua kero zao, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi...
Serikali ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imewataka vijana kupitia mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuunda vikundi vya kiuchumi ili kunufaika na mikopo isiyo na riba toka Halmashauri badala...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameivunja Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Maziwa nchini kutokana na kutoridhishwa na utendaji wa Bodi hiyo
Bodi hiyo imevunjwa kuanzia leo Agosti 22 chini...
Makomando hawa walionyanyasika bila ya kutetereka na Mh. Mbowe, ni wakati wa kuutambua mchango wao usio kifani na kuwalipa ipasavyo.
Walinyanyasika na kuhukumiwa wakiwa kwenye harakati zao...
KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Na Elius Ndabila
0768238284
1: UTULIVU WA KISIASA
Itakumbukwa kuwa bado siku chache kwa Mhe Samia, Rais wa awamu ya sita...
Zipo njia kuu mbili za kuzuia bei ya mafuta isipande sana ndani ya nchi.
1. Kuchukua mafuta yaliyonunuliwa kwa bei ndogo na kuhifadhiwa, mafuta hayo unayaingiza sokoni na kuyauza kwa bei za...
Muamko wa Wanawake katika siasa na ngazi za kufanya maamuzi umekuwa finyu katika jamii nyingi ulimwenguni. Wanaume kwa idadi kubwa wamekuwa wepesi kushiriki katika kuwania na kutwaa nafasi za...
Miezi 8 si haba. Lakini wako UAMSHO walikaa miaka 9. Kwa hiyo kama kuumia mtani hujawafikia UAMSHO.
Ningefurahi ukawaiga UAMSHO. Hakika wameonesha hekima kubwa toka waachiwe huru. Wamejirudi.
La...
Asalaam wadau!
Kauli ya Mh. Rais Jana ni kauli yenye kosa kuubwa saana LA kiufundi ambalo litagharimu saana raia ama taifa.
Yaan kavita ka wiki mbili unatamka kataleta mfumuko wa bei zaidi ya...
Hii maana yake hasa ni nini? Upinzani Tanzania umekwisha? Chadema walilaumu sana kwanini kipindi kile Maalim alimtafa Magufuli Ikulu na kumsema maalim seif amewasaliti Upinzani, Lakini sasa macho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.