Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunasema tena kwa dhati, mama Ubarikiwe kwa kutukumbuka sekta hii iliyokuwa inaenda kufa kwa upande wa makandarasi wazawa. Tulianza vizuri sana na mentor wetu katika Awamu ya 5. Baada ya hapo...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Ndugu. Mwenyekiti salama? Natumaini upo salama muda huu hapo Dubai, huku Dar es Salaam hali shwari kwa maskini na wanyonge ila si salama kwa wasaka madaraka! Sina lengo la kukushtua ukatishe...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwanza nianze kwa kutoa kongole kwa wamama wote nchini Tanzania, nikiri kama wanavyokiri wenzangu ya kuwa nyinyi ni jeshi kubwa na nguzo imara kwa Taifa letu. Pili nichukue fursa hii kumpongeza...
11 Reactions
46 Replies
4K Views
Mawakili wa Lengai ole Sabaya wameweka pingamizi kwa mshtakiwa wa tatu kutumia simu yake Kwenye kutoa ushahidi. Mawakili wa Sabaya wanadai simu hiyo ya mtuhumiwa haijaorodheshwa Kama sehemu ya...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Wafanyabiashara ni watu wajanja wajanja wanaweza kutumia tamko la Rais wa JMT kama fursa ya wao kupandisha bei za bidhaa kienyeti na bila uhalali wowote. Nashauri Waziri wa Viwanda na Biashara...
3 Reactions
11 Replies
750 Views
Ofisi ya Tawala za Mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) imetoa ripoti kuhusu Madarasa shikizi 1,155 ya serikali ya Awamu ya sita yamejengwa na Kazi Inaendelea na kuhimiza wazazi wapeleke watoto...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nikimwangalia Rais Mama Samia natamani kulia kwa furaha, sijui ni wangapi wako kama mimi? Mh. Mbowe amefanya vizuri sana kuitikia wito wa Rais Samia kwenda kukutana nae punde tu baada ya kuachiwa...
4 Reactions
11 Replies
733 Views
Kifo cha Rais Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu ni moja ya vifo huenda kikazivutia idara nyingi za usalama ktk mataifa makini yanayopenda kulinda uhai wa viongozi wao wakuu wa kitaifa. Awali...
13 Reactions
37 Replies
7K Views
Tunahitaji taarifa za mara kwa mara katika kipindi hiki kutoka Serikalini kupitia Wizara ya mambo ya nje @wizara_mambo_ya_nje_tz na Balozi zetu . Tupeni taarifa watanzania na wanafunzi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Ukweli usiopingika ni kuwa bidhaa ya mafuta ndio huwa ina control bei karibu ya vitu vingi sanaa. Hivyo serikali Ina wajibu wa kutusaidia wananchi ili tusiumie sana na mfumuko wa bei. Bei ya...
1 Reactions
4 Replies
690 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Septembea 04,2021 amefanya mazungumzo kwa nija ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya...
9 Reactions
87 Replies
8K Views
Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana, Leo Bawacha wameadhimisha...
43 Reactions
161 Replies
8K Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema kuna chanjo 15,000 za Uviko-19 hazijatumika mkoani humo huku kukiwa na changamoto kwa kuwa baada ya mwezi mmoja kuanzia leo Jumamosi Septemba 25...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Wote tunafahamu mwaka jana Rais Samia alipata mkopo wa civid-19 wa takribani Shilingi trilioni 1.5, fedha ambazo zimetumika kujenga vyumba vya madarasa na Hospitali. Watanzania tukaaminishwa kuwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumanne Machi 08, 2022 alikuwa Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho siku ya Wanawake duniani ambayo yalifanyika Jimboni...
0 Reactions
2 Replies
663 Views
Ile dhana ya akina Pilepole kutuletea kina Mwita Waitara kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi sikuikubali kabisa na nilisema wazi ni heri watu hao wakaitumikia CCM wakiwa huko huko upinzani kama...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Maadhimisho haya yatafanyika Mkoani Iringa 8/03/2022 Taarifa ya Bawacha waliyoisambaza kwa vyombo vya habari inaeleza .
15 Reactions
75 Replies
7K Views
Gazeti la The Citizen la Jumatano Machi 9, 2022 limeomba radhi kwa kile kilichoandikwa katika habari yao kubwa gazetini hapo ambayo ilitoka Jumatatu Machi 7, 2022. Katika The Citizen la Machi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) mkoani...
32 Reactions
67 Replies
7K Views
Serikali za Tanzania na Indonesia zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha huduma za afya kwa faida ya pande zote mbili. Hayo yamebainika Machi 8, 2022 ambapo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu...
0 Reactions
14 Replies
972 Views
Back
Top Bottom