Mnakumbuka moja ya njia ambayo tulikuwa tukiishauri Serikali ya Tanzania juu ya wanafunzi wa Tanzania waliokwama nchini Ukraine katika mji wa Sumy, ni Serikali kupitia Balozi zetu kufanya...
Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amewahakikishia watanzania kuwa wanafunzi 150 waliokuwa wamebaki nchini Ukraine wapo salama na wamefanikiwa...
Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall, uko Mjini Iringa, Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika.
Shughuli hii ibatarajiwa...
Sio vizuri kutimuana kila wakati kwakuwa zoezi la kutimua watu linazaa kelele na bughudha nyingi kwa wananchi. Tulifurahia kuona watanzania wenzetu wafanyabiashara ndogondogo wameziachia barabara...
Updates :-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua...
Najua waziri wa madini Dr Dotto Biteko tuko wote hapa Jf
Tafadhali sana changamkia fursa hii ya kupanda bei ya uranium na nickel ili tuweze kuuza haya madini yetu yaliyojazana kule Songea na...
Hii Spirit waliyonayo BAWACHA aise ni ya kuhamisha Mlima. Wana Moral ya hatari kitu ambacho ndani ya BAVICHA wakiwa kama vijana hakipo kabisa, sina mengi ya Kuzungumza ila ningekua Kiongozi wa...
Wanaukumbi.
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa...
SERIKALI YAENDESHA MAFUNZO YA KUJENGA UELEWA KUHUSU UCHUMI WA KIDIJITALI
Na Prisca Ulomi na Semu Mwakyanjala, WHMTH, Zanzibar
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendesha mafunzo ya...
Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
Chanzo: DarMpya
MHESHIMIWA NAIBU SPIKA ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA.
Kwa mujibu wa historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza Rais ambaye yuko katika madaraka anakutana...
Baraza la vijana CHADEMA( BAVICHA) limejulikana muda mrefu kwa kutoa vijana mahiri na wajuzi wa kujenga hoja na ushawashi katika jamii lakini kipindi cha kuanzia mwaka 2015 viongozi wake wengi na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia katika maadhimisho ya 'Siku ya Wanawake Duniani', Zanzibar, hivi ni baadhi ya kauli zake:
"Tunajua kwamba wanawake wengi...
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI TUBORESHE MAISHA YAO
Leo ni siku ya kimataifa ya Wanawake duniani. Ni kumbukumbu inayoadhimishwa tarehe 8 Machi kila mwaka kutambua jitihada zilizofanywa na wanawake...
Imekuwaje Kiwanda cha chanjo ya Covid kimepelekwa Kenya ilihali mama akiwa Ulaya alitangaza kuwa kitajengwa Tanzania. Je wajenzi walimdanganya au hakusikia vizuri?
Je, aliambiwa kitajengwa...
ALIYOYASEMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOKUWA KWENYE ZIARA MAALUM KATIKA SHULE YA SEKONDARI BENJAMIN WILLIAM MKAPA, DAR ES SALAAM.
MACHI 7, 2022...
Julias Marandu
Kwa asiyeelewa neno NIA linaendana na wakati na mazingira, nikimaanisha kwamba unaweza kuwa na nia ya kutekeleza jambo fulani, ila kutokana na mazingira na wakati usitekeleze hilo...
Ikiwa leo ni siku ya wanawake kipekee napenda kuwajadili kiundani wanawake wa shoka walioshiriki katika ule mtandao wa boys2men kuelekea magogoni kupitia CCM mwaka 2005.
Mtandao wa JK na Lowassa...
Wakisoma Risala mbele ya Rais uongozi wa Shule ya sekondari Benjamin Mkapa wamemweleza Rais kuwa imebidi wanunue Generator sababu ya umeme Tanesco kukatika katika mara kwa mara.
TANESCO Mungu...
Habarini,
Nashauri Viongozi wa Chadema kwamba. Kwa kuwa waliruhusiwa kurekodi yote yaliyokuwa yanazungumzwa kwenye kesi hiyo.
(Nimedokezwa na jamaa zangu wa State Attorney kwamba hii ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.