Mbunge Viti Maalum Neema Lugangira ampongeza Rais Samia kwenda Marekani

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,577
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki hayaendi! Enzi za JPM nae mlimsifia kwa kutokusafiri Ughaibuni!

Yaani maajabu hayajawahi kuisha huko CCM 😂😂😂

23B8351F-7A99-41CF-848B-2901AAB3B207.jpeg
 
CCM is somewhat dead. Imekusanya watoto na watu ambao hawajui nchi inataka nini. Unfortunately, CCM inafanya huu utoto utoto wakati ndiyo ilitegemewa kutoa strategic direction ya nchi in few decades to come. Katibu mwenezi ni yale yale. Dan naye naona kama amezidiwa hivi. Hawa wabunge ndiyo kabisaa hawana hata msaada. Mama kabaki mwenyewe akilaumu gazeti la chama kumshambulia!
 
Sasa kuna haja gani ya kusifia hapo , sasa c kawaida kwa raisi kuhudhuria hivyo vikao , ajabu ulikua kwa mwenda zake tu
 
Yaan
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki hayaendi! Enzi za JPM nae mlimsifia kwa kutokusafiri Ughaibuni!

Yaani maajabu hayajawahi kuisha huko CCM 😂😂😂

View attachment 1943839
Yaan huyu analinda ,ubunge wake wa kuteuliwa.Watu kama hawa ni hatari kwa nchi kama ukoma.Hakitoka Samia, akaja mwingine ,asiyesafiri kama Magufuli ,watasifia pia.Hawa ni aina ya kina ndugai,Gambo na wengine wengi.Wapo kulinda maslahi yao binafsi.Hawana kitu kichwani.Wakipoteza ubunge,hakuna ajira.
 
Ninampongeza sana Mama Samia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki hayaendi! Enzi za JPM nae mlimsifia kwa kutokusafiri Ughaibuni!

Yaani maajabu hayajawahi kuisha huko CCM

View attachment 1943839
Huyu dada anatafuta attention kwa nguvu kubwa sana.
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki hayaendi! Enzi za JPM nae mlimsifia kwa kutokusafiri Ughaibuni!

Yaani maajabu hayajawahi kuisha huko CCM 😂😂😂

View attachment 1943839
Shaka naye kampongeza rais kwa kuwaruhusu Chadema kuingia mahakamani na simu, wonders shall never end.
 
Back
Top Bottom