Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakosoaji wanadai gharama za mwenge ni kubwa sana kuliko faida zake! Napingana nao! Kwangu Mimi mwenge wa Uhuru naona kama bado thamani yake haijawahi kupatikana! Mwenge wa Uhuru ni moja kati ya...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Mbunge wa Kigamboni, Dr Faustine Ndugulile ni kama amepingana na mbunge wa viti maalumu Neema Rugangira anayetaka biashara za mitandaoni zitozwe kodi. Dkt. Ndugulile aliyewahi kuwa waziri wa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii ndio taarifa iliyotufikia kutoka Shinyanga , kwamba Patrobas Katambi ambaye ni naibu Waziri na Mbunge wa Shinyanga Mjini amefanya uzinduzi kabambe wa Daraja katika eneo korofi , Daraja hilo la...
19 Reactions
80 Replies
6K Views
Sehemu pekee Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni Kwenye hilo kuna muafaka wa kitaifa bungeni wa vyama vyote Mtu akisema hakuna...
11 Reactions
56 Replies
4K Views
KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Na Elius Ndabila 0768239284 2: UHUSIANO WA KIMATAIFA. Baada ya kuangazia utulivu wa kisiasa kuelekea siku 365 za Mhe...
1 Reactions
1 Replies
835 Views
Iliyokuwa Ofisi ya CUF Mwanza baadaye ikageuzwa kuwa Ofisi ya ACT Wazalendo Mkoa, leo wenyewe CUF wameirudisha. ===== Maandalizi Ya Kuibadilisha Iliyokuwa Ofisi Ya ACT Mkoa Wa Mwanza, Ilemela...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
11 Reactions
134 Replies
9K Views
Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania (TRA), imempa siku 30 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwenda kulipia ushuru kontena zake 20 na kuzichukua kuanzia Jumatatu Mei 21, 2018 na endapo...
3 Reactions
67 Replies
13K Views
Kupiga mnada makontena haya yenye utata wa umiliki ni sawa na kufunika kombe mwanaharamu apite na tabia hii ikiachwa ndio itakuwa mchezo. Nashauri iundwe Tume kuchunguza jambo hili ingawa...
9 Reactions
50 Replies
5K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally Katika mwendelezo wa mahojiano aliyoyafanya na Raia Mwema, amemnyooshea kidole, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa namna anavyotekeleza majukumu...
22 Reactions
161 Replies
38K Views
1.Kuna uwezekano mkubwa TRA wamekurupuka na kukadiria kodi isiyoendana na thamani halisi ya mzigo uliopo kwenye makontena,huenda hawakujiridhisha kilichomo ndani. AU 2.Waziri wa fedha kakurupuka...
15 Reactions
118 Replies
17K Views
DC JOKATE AHAMIA SEKTA YA UTALII TEMEKE. Sekta ya utalii imekuwa haizungumzwi sana ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Temeke ukilinganisha na maeneo mengine hapa nchini hali inayofanya baadhi ya...
0 Reactions
3 Replies
764 Views
Nadhani mlitakiwa kupata maoni ya wadau kwanza kabla ya kuidandia hoja hii na tena kuja kwa vitisho. Tanzania tunao wanaofanya “Biashara za Kidijitali” wasiolipa kodi kweli?
0 Reactions
2 Replies
589 Views
Miaka kadhaaa iliyopita serikali iliamua kuwaamsha wakazi wa magomeni walio kuwa wakipata hadha ya mafuriko Kila mwaka kwa kuwapa ardhi pale Mabwepande. Kimsingi zoezi lire lilijaa sana siasa,ila...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani Itawale kwenu Nyote! Jana nahisi ilikua moja ya siku atakazozikumbuka Mwamba FAM kwenye Maisha yake hasa juu ya kesi iliyokua inamkabili yeye na wenzake ambapo DPP jana Aliamua kuifuta kesi...
26 Reactions
102 Replies
6K Views
Amani iwe nanyi Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali...
21 Reactions
248 Replies
12K Views
Tukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu. Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo...
63 Reactions
129 Replies
9K Views
Msimamo wangu juu ya suala zima la Posho! Kufuatia habari tarehe 28 Novemba kuhusu ‘kupanda kimya kimya kwa posho za wabunge kwa zaidi ya asilimia 150' tarehe 29 Novemba 2011 nilitoa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji. Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu. Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ubalozi wa Tanzania uliopo Urusi umetoa taarifa juu ya njia ambazo wanafunzi Watanzania walipo katika Chuo cha Taifa cha Sumy Nchini Ukraine wanazotakiwa kutumia pamoja na namba za simu kwa ajili...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom