Makomando hawa walionyanyasika bila ya kutetereka na Mh. Mbowe, ni wakati wa kuutambua mchango wao usio kifani na kuwalipa ipasavyo.
Walinyanyasika na kuhukumiwa wakiwa kwenye harakati zao kujipatia ajira (VIP Protection). Na wapewe ajira hizo sasa.
Mohammed Ling'wenya, Adam Kasekwa, Khalfan Bwire bila kumsahau Komando Mhina na wenzao wamejipambanua kuwa ni wazalendo kweli kweli.
Makomando hawa waliamini katika haki, wameishi katika haki na kudumu katika haki.
Kwa hakika vita vilivyo vizuri wamevipiga na hatimaye mwendo wameumaliza wakiwa washindi!
Hawa watu ni mashujaa wenye kuweza kuaminika kuwalinda viongozi wetu salama pasipokuwa na shaka, wakiwamo kina Mh. Lissu walio njiani kurejea nyumbani karibuni.
Nani kama makomando hawa?
Yuko wapi Moses Lijenje? Yuko wapi mzee Kakobe?