GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,647
Miaka hiyo ya nyuma wimbo huu ulipigwa marufuku na aliyekuwa rais wa kipindi hicho ndugu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Sikumbuki ni bendi gani waliimba ila kiitikio chake kilikuwa "bomoa leo, tutajenga kesho, bomoa"
Sasa utataka kuniuliza kwa nini leo nimeukumbuka? Kumbukumbu ya jambo haina siku na wakati maalum. Nami nasema bomoa leo tutajenga kesho.
Pascal Mayalla unaweza kuwa unaukumbuka wimbo huu kama miaka hiyo ulikuwa mpenz wa siasa na music.