Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapa tulipo ikiwa ni njia panda basi tuelekezane muelekeo sahihi ni upi kuifikia ile nchi ya asali na maziwa. Waisraeli wakamlilia Musa wakisema ni heri uturudishe Misri kwenye " makaburi" Mungu...
2 Reactions
8 Replies
604 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, jana Machi 14, 2022 aliwatembelea na kuwajulia hali Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay pamoja na Mama mzazi wa Mbunge wa...
0 Reactions
4 Replies
924 Views
Tumemsikia Magufuli akiongea na nchi Iyumbu, Dodoma akadai Utawala NHC una matumizi makubwa na ya kutisha, tena yasiyo na tija. Kuanzia kufanya vikao Dubai, kununua ardhi kwa bei ya ajabu...
14 Reactions
181 Replies
28K Views
Na Mwl Udadis Mwenye macho haambiwi tazama. Kazi iliyofanywa na Rais Samia katika kipindi hiki cha mwaka mmoja ni ishara ya uwezo mkubwa wa kiuongozi. Tuangazie baadhi ya mambo yanayojenga...
0 Reactions
2 Replies
533 Views
Sasa ni dhahiri kwamba awamu ya 6 imebaini kwamba wapo watu kadhaa walioongoza sekta , vitengo au mashirika ya umma waliondolewa kimakosa au kwa wivu tu na awamu iliyopita , tukaaminishwa kwamba...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Niliwaeleza kuhusu ugomvi wa viongozi wakubwa wawili wa chama, wapo waliotukana wapo waliobeza Ila baada ya siku mbili gazeti la raia mwema likaandika niliyoeleza na ukweli umejulikana. Nawasanua...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu: Kuelimisha/kifundisha (teaching) Kuandika vitabu (publication) Kufanya tafiti (Research). Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa...
17 Reactions
138 Replies
11K Views
Tume ya Rais aliyounda itapeleka maoni yake wapi bila kuvunja katiba ya JMT. ================ 74 (11) Katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii, Tume ya Uchaguzi...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Nehemia Mchechu could be a better ministry ever in Tanzania. Ni mtu makini mwenye weredi wa hali ya juu. Nakumbuka alichukua NHC ikiwa negative na madeni ya kutosha hadi anaondoka NHC ilikuwa ina...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Itifaki imezingatiwa! Kwanza hongera mkulu wa nchi kwa kuyashughulikia haya majizi ya nchi hii, yenyewe ndiyo yanalizamisha taifa hili kiuchumi, "hongera" Jana ilishuhudiwa mapapa ya "Escrow"...
1 Reactions
137 Replies
16K Views
Tundu Lisu amesema kwa sasa akiwa nchini Ubelgiji anafanya kazi za uconsultancy ambayo kiswahili chake amesahau pamoja na uandishi wa vitabu. Vitabu anavyoandika ni kwa ajili ya UN na taasisi...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza...
13 Reactions
90 Replies
8K Views
Wapiga dili ni watu hatari sana. Ni hawa hawa walikuwa wanadai kwanini Magufuli hakutani na Mbowe ambaye ni mpinzani mkuu kama walivyofanya Uhuru na Raila Odinga? Lakini ndio hao hao leo...
13 Reactions
17 Replies
2K Views
Uteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani. Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Nimeikuta mahali hii Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo...
19 Reactions
57 Replies
5K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe, Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amezungumzia mwaka mmoja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan madarakani kuwa wenye mafanikio na...
0 Reactions
0 Replies
522 Views
Wakati huu wa kwaresma ni wakati wa kukumbuka pamoja na kwamba Mwenyezi Mungu anatulinda tusimjaribu. Mungu ametupa uwezo wa kujua na kugundua dawa hivyo tusiache kutumia na kusubiri Mungu. Kwa...
3 Reactions
7 Replies
854 Views
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Mwinyi amesema kuanzia sasa ,hakuna mwananchi visiwani humo atakayeuziwa nguzo ya umeme ambayo kiukweli unauziwa nguzo lakini bado hiyo...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Waziri wa Afya Nassor Mazrui (ACT-Wazalendo) akimkabidhi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Riziki Pembe Juma (CCM) wakati wa makabidhiano ya ofisi...
1 Reactions
4 Replies
900 Views
Back
Top Bottom