Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,062
3,682
Hapo vip!!

Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani.

Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa Rais Kwasababu hana kosa alilolitenda,na aliona hiyo kesi mahakama yenyewe itaitupilia mbali kwa sababu haina nguvu.

Ni wazi kadri ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamuhuri Tundu Lissu anapata majibu ya kauli zake za kisiasa dhidi ya kesi hii.

Nadhani ametumia taaluma yake na kujiridhisha yakwamba mwenyeki hachomoki..kwahiyo kaamua kuunga mkona kauli ya Zitto kabwe kumnusuru mbowe dhidi ya mkono wa sheria.

Ila pia nina neno kwa mama,kama atapokea maombi ya zito na Lisu basi tafsiri yake ni kwamba Rais anauweze wa kukanya muhimili wa mahakama...kwabusara ni bora,mahakama ipewe uhuru wake juu ya hii kesi ya mbowe...nakama atakutwa na hatia basi mama awaachie kama wafungwa wengine kwa msamaha...

Isionekana kuna watu wanaweza kutenda kosa na kwasababu ya umaarufu wake..na hawezi kufungwa na mahakama za kitanzania kwasababu ataombewa msamaha kwa rais na atetewa na wanaharakati...

Nakushauri Rais hili swala usiwe mwepesi wa kulitolea maamuzi..mwisho wa siku utatengeneza hoja na wanasiasa kukushambulia vizuri na kudhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ndio uliyemtengenezea mbowe kesi.

Pia kumbuka jamhuru imetumia pesa nyingi katika upelelezi ya kesi hii..hizi ni kodi za wanyonge...lakini lingine utaivunja moyo jamhuru katika kufanya kazi zake.
 
Wewe ukiwa peke yako kabisa bafuni unaoga umevua nguo zote hakuna anaekuona wala huogopi kitu unaona kabisa ule ushahidi uliotolewa unajenga misingi ya kuwa na kesi pale na unaona kabisa hayo mazingira kuwa mahakama ikiwa huru Mbowe hachomoki?

Sometimes acha kushikiwa akili na mahaba ya kisiasa, unapoteza utu wako
 
Hapo vip!!

Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani.

Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa Rais Kwasababu hana kosa alilolitenda,na aliona hiyo kesi mahakama yenyewe itaitupilia mbali kwa sababu haina nguvu.

Ni wazi kadri ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamuhuri Tundu Lissu anapata majibu ya kauli zake za kisiasa dhidi ya kesi hii.

Nadhani ametumia taaluma yake na kujiridhisha yakwamba mwenyeki hachomoki..kwahiyo kaamua kuunga mkona kauli ya Zitto kabwe kumnusuru mbowe dhidi ya mkono wa sheria.

Ila pia nina neno kwa mama,kama atapokea maombi ya zito na Lisu basi tafsiri yake ni kwamba Rais anauweze wa kukanya muhimili wa mahakama...kwabusara ni bora,mahakama ipewe uhuru wake juu ya hii kesi ya mbowe...nakama atakutwa na hatia basi mama awaachie kama wafungwa wengine kwa msamaha...

Isionekana kuna watu wanaweza kutenda kosa na kwasababu ya umaarufu wake..na hawezi kufungwa na mahakama za kitanzania kwasababu ataombewa msamaha kwa rais na atetewa na wanaharakati...

Nakushauri Rais hili swala usiwe mwepesi wa kulitolea maamuzi..mwisho wa siku utatengeneza hoja na wanasiasa kukushambulia vizuri na kudhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ndio uliyemtengenezea mbowe kesi.

Pia kumbuka jamhuru imetumia pesa nyingi katika upelelezi ya kesi hii..hizi ni kodi za wanyonge...lakini lingine utaivunja moyo jamhuru katika kufanya kazi zake.
Wanasema ujinga ni mzigo mzito. Maana yake mtu mjinga huwa hajui amebeba mzigo mzito,ni kama wewe,sijui ulifikiri unaandika insha, yaani umetumia muda wako wote kuandika haya. Hopeless kweli wewe!!
 
Hapo vip!!

Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani.

Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa Rais Kwasababu hana kosa alilolitenda,na aliona hiyo kesi mahakama yenyewe itaitupilia mbali kwa sababu haina nguvu.

Ni wazi kadri ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamuhuri Tundu Lissu anapata majibu ya kauli zake za kisiasa dhidi ya kesi hii.

Nadhani ametumia taaluma yake na kujiridhisha yakwamba mwenyeki hachomoki..kwahiyo kaamua kuunga mkona kauli ya Zitto kabwe kumnusuru mbowe dhidi ya mkono wa sheria.

Ila pia nina neno kwa mama,kama atapokea maombi ya zito na Lisu basi tafsiri yake ni kwamba Rais anauweze wa kukanya muhimili wa mahakama...kwabusara ni bora,mahakama ipewe uhuru wake juu ya hii kesi ya mbowe...nakama atakutwa na hatia basi mama awaachie kama wafungwa wengine kwa msamaha...

Isionekana kuna watu wanaweza kutenda kosa na kwasababu ya umaarufu wake..na hawezi kufungwa na mahakama za kitanzania kwasababu ataombewa msamaha kwa rais na atetewa na wanaharakati...

Nakushauri Rais hili swala usiwe mwepesi wa kulitolea maamuzi..mwisho wa siku utatengeneza hoja na wanasiasa kukushambulia vizuri na kudhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ndio uliyemtengenezea mbowe kesi.

Pia kumbuka jamhuru imetumia pesa nyingi katika upelelezi ya kesi hii..hizi ni kodi za wanyonge...lakini lingine utaivunja moyo jamhuru katika kufanya kazi zake.
Ndg unateseka ukiwa wapi Boss wangu! Issue ipo clear sana. Sijui why watu mmeshika bango
 
amemuombea msamaha au amesema kesi ya hovyo inayodhalilisha taifa na serikali kwa ujumla?

Mwenyekiti wa ccm yako akirudi wafuate wasaidizi wake watakumegea madongo ambayo atakuwa amelishwa na watendaji wa EU. Lisu amemtahadharisha tu ili awe na jibu akiulizwa aseme nini.

Hata hivyo vijana wengi wa ccm hasa mlio hq ya ccm, akili zenu ni kama mlivyomaliza chekechea mkadhani mmehitimu vyuo vikuu. Ninyi ni janga kubwa kwa chama chenu....you lack tools of analysis in your heads
 
Hata EU walisema ifutwe hiyo kesi
 
Hapo vip!!

Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani.

Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa Rais Kwasababu hana kosa alilolitenda,na aliona hiyo kesi mahakama yenyewe itaitupilia mbali kwa sababu haina nguvu.

Ni wazi kadri ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamuhuri Tundu Lissu anapata majibu ya kauli zake za kisiasa dhidi ya kesi hii.

Nadhani ametumia taaluma yake na kujiridhisha yakwamba mwenyeki hachomoki..kwahiyo kaamua kuunga mkona kauli ya Zitto kabwe kumnusuru mbowe dhidi ya mkono wa sheria.

Ila pia nina neno kwa mama,kama atapokea maombi ya zito na Lisu basi tafsiri yake ni kwamba Rais anauweze wa kukanya muhimili wa mahakama...kwabusara ni bora,mahakama ipewe uhuru wake juu ya hii kesi ya mbowe...nakama atakutwa na hatia basi mama awaachie kama wafungwa wengine kwa msamaha...

Isionekana kuna watu wanaweza kutenda kosa na kwasababu ya umaarufu wake..na hawezi kufungwa na mahakama za kitanzania kwasababu ataombewa msamaha kwa rais na atetewa na wanaharakati...

Nakushauri Rais hili swala usiwe mwepesi wa kulitolea maamuzi..mwisho wa siku utatengeneza hoja na wanasiasa kukushambulia vizuri na kudhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ndio uliyemtengenezea mbowe kesi.

Pia kumbuka jamhuru imetumia pesa nyingi katika upelelezi ya kesi hii..hizi ni kodi za wanyonge...lakini lingine utaivunja moyo jamhuru katika kufanya kazi zake.

Una bahati, kumbe ulikuwepo kwenye mazungumzo? Mpiga picha ajakutendea Haki
 
Daah hizi shule za kata zikiendelea kuwepo tutaendelea kupata uvccm matahaira
 
... Zitto alimtaka Mbowe aombe msamaha; Lissu anataka Mbowe aachiwe bila masharti; bado huoni tofauti, are you ok upstairs?
Chawa sasa hivi wanahaha balaa. Fikiria mama angemkacha Lissu jinsi mambo yangekuwa humu jamvini
 
Hapo vip!!

Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani.

Acha ujinga ww. Lissu hajanuombea msamaha FAM. Kaomba kesi iondolewe mahakamani kwani ni ya kutungwa.
Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa Rais Kwasababu hana kosa alilolitenda,na aliona hiyo kesi mahakama yenyewe itaitupilia mbali kwa sababu haina nguvu.

Ni wazi kadri ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamuhuri Tundu Lissu anapata majibu ya kauli zake za kisiasa dhidi ya kesi hii.

Nadhani ametumia taaluma yake na kujiridhisha yakwamba mwenyeki hachomoki..kwahiyo kaamua kuunga mkona kauli ya Zitto kabwe kumnusuru mbowe dhidi ya mkono wa sheria.

Ila pia nina neno kwa mama,kama atapokea maombi ya zito na Lisu basi tafsiri yake ni kwamba Rais anauweze wa kukanya muhimili wa mahakama...kwabusara ni bora,mahakama ipewe uhuru wake juu ya hii kesi ya mbowe...nakama atakutwa na hatia basi mama awaachie kama wafungwa wengine kwa msamaha...

Isionekana kuna watu wanaweza kutenda kosa na kwasababu ya umaarufu wake..na hawezi kufungwa na mahakama za kitanzania kwasababu ataombewa msamaha kwa rais na atetewa na wanaharakati...

Nakushauri Rais hili swala usiwe mwepesi wa kulitolea maamuzi..mwisho wa siku utatengeneza hoja na wanasiasa kukushambulia vizuri na kudhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ndio uliyemtengenezea mbowe kesi.

Pia kumbuka jamhuru imetumia pesa nyingi katika upelelezi ya kesi hii..hizi ni kodi za wanyonge...lakini lingine utaivunja moyo jamhuru katika kufanya kazi zake.
 
Hapo vip!!

Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani.

Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa Rais Kwasababu hana kosa alilolitenda,na aliona hiyo kesi mahakama yenyewe itaitupilia mbali kwa sababu haina nguvu.

Ni wazi kadri ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamuhuri Tundu Lissu anapata majibu ya kauli zake za kisiasa dhidi ya kesi hii.

Nadhani ametumia taaluma yake na kujiridhisha yakwamba mwenyeki hachomoki..kwahiyo kaamua kuunga mkona kauli ya Zitto kabwe kumnusuru mbowe dhidi ya mkono wa sheria.

Ila pia nina neno kwa mama,kama atapokea maombi ya zito na Lisu basi tafsiri yake ni kwamba Rais anauweze wa kukanya muhimili wa mahakama...kwabusara ni bora,mahakama ipewe uhuru wake juu ya hii kesi ya mbowe...nakama atakutwa na hatia basi mama awaachie kama wafungwa wengine kwa msamaha...

Isionekana kuna watu wanaweza kutenda kosa na kwasababu ya umaarufu wake..na hawezi kufungwa na mahakama za kitanzania kwasababu ataombewa msamaha kwa rais na atetewa na wanaharakati...

Nakushauri Rais hili swala usiwe mwepesi wa kulitolea maamuzi..mwisho wa siku utatengeneza hoja na wanasiasa kukushambulia vizuri na kudhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ndio uliyemtengenezea mbowe kesi.

Pia kumbuka jamhuru imetumia pesa nyingi katika upelelezi ya kesi hii..hizi ni kodi za wanyonge...lakini lingine utaivunja moyo jamhuru katika kufanya kazi zake.
Bila shaka kama sii badluck ni sehemu ya team mbambikizi, sio Kwa mitazamo roho mbaya ya viwango hivyo
 
Back
Top Bottom