Katiba mpya kwa sasa hatuhitaji, chaguzi hatushiriki. Sisi tupotupo na haijulikani tunataka nini. Au tunataka michango tu ya wananchi?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Kama chama kikuu cha upinzani sisi tunahitaji nini kwa sasa? Katiba mpya ingetupatia tume huru na tungeshinda chaguzi kihalali.

Chaguzi zikifanyika hatushiriki hii ni kwa sababu tulishasema hatutashiliki chafuzi za wezi wa kura

Sasa chama chetu cha Chadema kipokipo tu na hakina muelekeo zaidi ya kukusanya michango kidijitali na kwa kujoini ze cheini.
 
Ngumu kumeza hiyo mwenyewe unaona mwenyekiti kimya.

Makamu mwenyekiti yuko uraya anajipangia tu.

Mjumbe wa kamati yuko canada anawakoromea wanachama.

Mjumbe mwingine anawatisha anasema wamfute uwanachama sababu kutofautiana hoja.

Kule vyama vingine wakitofautiana hoya na chadema * wanachama wa chadema watawaandama kwa mvua ya matusi na dharau hao wenye viti wa vyama pinzani we zao.

Kwa ufupi tanzania hakuna upinzani wa kweli labda atoke & awepo raisi mwenye hofu ya mungu hivyo vitu unavyo & tunavyovitaka ndio vitapatikana tuendelee kupiga goti labda mungu atasikia kilio chetu
 
Back
Top Bottom