UVCCM kikao cha kumjadili Makonda kesho,

Kikwete aliyemtuma hatakubali kumfukuza Makonda kwa kuwa Sitta, mentor wa Makonda alisaidia kupitisha katiba ya kichina
 
Uvccm kesho kumjadili makonda je watamtosa mwenzao?

Kama kweli alitumwa wale jamaa waliotajwa hawawezi kumfanyia kitu,Ila kama wana wana ubavu wamtimue.Hata hivyo anawadhalilisha sana wenzake yeye ndie anayewagawa.
 
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.

Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.

Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.

Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.
 
Hawawezi kumtosa kwa kuwa ni jini lililotumwa, wanamjadili ili mwenyekiti wa chama chao ampe mafaraka makubwa kwa ushujaa wa utovu wa nidhamu alio onesha. eg. Nkamia,Nchemba , zambi. nk. ni sera mpya ya chama chakavu.
 
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.

Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.

Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.

Pasco.

Unaugua wewe sio bure
 
Uvccm kesho kumjadili makonda je watamtosa mwenzao? Kama Lowassa alivotoswa kweny richmond?

Yatatokea makundi mawili moja likipinga na moja likisapoti achukuliwe hatua
1: ccm maslahi hawatakubali makonda achukuliwe hatua lakini..
2: ccm UKAWA watasimamia maadili wakitaka achukuliwe hatua kali za kinidhamu
 
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.

Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.

Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.

Pasco.
Nimeanza kuelewa kwanini wale makamanda walipandishwa vyeo badala ya kufukuzwa kazi?
Kumbe ketu nisifa Kuwa mwizi,kuvuruga amani, kuua watu, kushambulia watu,
 
Hii kitu haina tija kwa Taifa , tujadili mambo makuu matano (uchaguzi serikali za mitaa, kujiandikisha kwenye daftari la kura, kura za maoni, uchaguzi mkuu na wizi wa akaunti ya escrow) yatakayolinda mustakabali wa Nchi yetu.
Tusiwe wepesi kusahau mijadala muhimu.
 
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!. Pasco uko sahihi! Walau Uvccm ya bro Nchimbi ilikuwa inafanya maamuzi hata kama wengine hawakuyafurahia, lakini tangu aondoke hakuna Uvccm tena limebaki kundi tu la vijana!
 
Na njaa ya huyu jamaa ni mbaya sana maana reasoning capacity yake haisomi number tena imeshuka na kugota kwenye ZERO.
BAK hii ni zaidi ya njaa ni tabia ya upambe na kujipendekeza! Nawaogopa mno watu wa namna hiyo ni wachoyo na wabinafsi wamepiliza, hawaangalii madhara ya matendo au maneno yao wanaangalia maslahi yao tuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom