Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo tarehe 24 Machi,2022, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Mhe. Balozi Hussain Ahmad Al Homaid Jijini Dar...
Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.
Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha...
Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa...
Zikiwa zimebakia siku mbili kabla ya uchaguzi mkuu, Mkuu wa kanisa la Anglicana la Tanzania, Askofu Dr. Valentino Mokiwa, ameonya dhidi ya uchakachaji matokeo ya uchaguzi kwa aina yoyote, huko ni...
Wakuu,
Aliyekuwa katibu mkuu wa CCM na akashindwa, amekuja na kiroja na kituko.
Eti amemtaka askofu Mokiwa amuombee mwanae January aote nywele kwa maana Mokiwa alitoa tamko kuwa hawatakuwa...
Suala la ubadhirifu serikalini lilipofikia na kwa jinsi Serikali inavyolichukulia linahitaji sasa kuvuka mipaka ya kisiasa. Si suala la CHADEMA, NCCR, CUF, TLP, UDP peke yao - ni suala pana...
CCM Inaenda kufanya mabadiliko ya Katiba ya chama, mabadiliko haya ni namna ya kuboresha chama chao.
Moja ya kitu kinachozungunzwa na huenda wanaenda kukibadili ni ukishachaguliwa kugombea uraisi...
Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima...
Nimetaarifiwa hivi punde nikiwa naelekea Kanisani kwamba katika shughuli hiyo ambayo itaanza saa 4 kamili, mgeni rasmi anategemewa kuwa Rais Magufuli.
Sherehe hizo zitarushwa mubashara kupitia...
Katiba Mpya yenye kuzingatia misingi ya demokrasia na yenye kukubalika na Watanzania wengi ni muhimu sana katika kuondoa umaskini, ujinga na maradhi. Upo uhusiano mkubwa sana kati ya Katiba bora...
CCM imeitisha mkutano mkuu maalumu kufanya marekebisho ya katiba yake kwa kuwapa majukumu wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), kuwarejesha kwenye NEC makatibu wa mikoa na kofia mbili kwa...
MUDA HUU
Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Yupo Azam UTV akieleza Makubwa Yamefanyika Wizara ya Nishati Mwaka Mmoja wa uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Madarakani.
Kupitia link hapo...
STEVE NYERERE KAKIDHALILISHA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), BUNGE na TUME YA UCHAGUZI WAOMBE RADHI
Anaandika Reuben Mchome
0655331933.
Kwani kuna wabunge waliopo Bungeni kwa VIMEMO?
Kwani kuna...
Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao...
Kwa kweli hiki chama kimekaa kama cha kichawi kila kinapokwenda maelfu ya watu wanakiunga mkono na sasa kipo mbali sana ,inakuwa ni ile hadithi ya mpiga filimbi, kwa kweli sasa ACT Wazalendo ni...
Kwa maoni yangu Tanzania ya leo inapaswa kuondoka katika fikra za kushabikia ujenzi wa madarasa, vituo vya afya na barabara na badala yake tuwekeze kwenye tafiti na interventions za kistratejia...
“Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau watanzania wanaitaka katiba mpya au ni hofu tu?”
Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu/sheria mama katika...
Najaribu kufikiri kwa kina !
Inavyoonekana Rais Wetu Mhe. Samia Suluhu Hassani anatuelekeza kuwa na umoja wa kitaifa kwa ajili ya kuendeleza Taifa.
Amegusa maeneo yote muhimu yalioonekana ni...
Yule mchungaji maarufu pale mitaa ya river side, Mzee wa upako. Askofu Antony Lusekelo ametoa yake ya moyoni juu ya hali ya ccm.
Nimewawekea video clip yake muisikilize na kama mtaamua kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.