Wiki iliyopita mahakama mkoani Arusha ilitoa amri kuzuia kusimikwa kwa askofu mmojawapo wa kanisa la anglikana mkoani humo kufuatia kesi iliyofunguliwa na waumini watatu wa kanisa hilo.
Licha ya...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anapokea...
Chadema hawashiriki mambo ya TCD lakini Nembo yake mnaipamba kila mahali tena mnaiweka jirani na CCM.
TLP ni chama chenye wafuasi wengi kuliko ACT wazalendo lakini haimo.
Vyama vya siasa viko...
Pamoja na matatizo mengi Tanzania ilyokuwa nayo kabla ya mwaka 2016 lakini ilikuwa katika njia nzuri na ilikuwa inapiga hatua, Then akaingia Magufuli ambaye wengi, ikiwemo mimi nilidhani atatatua...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya...
Habari Member's JamiiForums!
Jambo Mod's JamiiForums!
Badala ya kuwashambulia na kuwadhalilisha wale wanaopingana na nyinyi kimitazamo na kiitikadi. Mngejitahidi kuongeza Marafiki zaidi kuliko...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama...
Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na...
Hakika Chama Cha Mapinduzi kina hazina ya viiongozi mahiri na hodari sana ndani na nje ya Tanzania,
Toka enzi za Mhe Nape Nauye, Humphrey Polepole na Sasa Shaka Hamdu Shaka hakika wenezi hawa...
Members, Msipende kusikiliza maneno ya sisi wanasiasa kuwa lugha ya Kiswahili ni bora na elimu ya shule za kata ni bora sana.
Hakuna mwana siasa wa zama hizi ambaye mtoto wake anasoma shule ya...
Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam, jana 20/01/2022 imetupilia mbali pingamizi la awali lililowekwa na Jamhuri dhidi ya Shauri la Kikatiba lililofunguliwa na Baraza la Wadhamini la NCCR-Mageuzi...
Kwa sasa soko la gesi asilia na uranium ni kubwa sana duniani na bei tunapanga sisi wenyewe.
Niwasihi sana Dotto Biteko na January Makamba waweke mambo sawa ili tuweze kuingia sokoni mara moja...
Kuna mambo katika Taifa hili huwa yanafanyika mpaka unajiuliza, sisi ni Taifa la namna gani?
Mojawapo ya mambo yanayoonekana kutudhalilisha wote kama Taifa ni hili la katiba mpya.
Katiba ni ya...
Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025...
Tanzania ina sera ya kutofungamana na yoyote kati ya Magharibi au Mashariki.
Hili linaeleweka miaka yote.
Kitendo cha Umoja wa Ulaya kutaka Afrika na Tanzania watoe tamko dhidi ya Urusi ni...
Uvamizi wa Ukraine pamoja na maelezo ya rais wa Urusi ni jaribio la kuanzisha ukoloni mpya. Nchi nyingi zinadai Urusi itoke tena katika nchi jirani na kulipia fidia.
Balozi wa Kenya alihotubia...
Ndo ukweli wa wazi pamoja na Chadema kuwa na wafuasi wengi mashinani lakini wanaangushwa sana na viongozi wa juu wa Chama hicho.
Mbowe ana maono makubwa na Chama ila kufungwa kwake kumesababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.