Tunaambiwa kwamba Kilimo kinafanywa na asilimia 70 ya watanzania wote.
Serikali ilitenga bilioni 101 kama bajeti ya maendeleo lakini ilitoa shilingi bilioni tatu point nne!
Kwa hesabu za...
Kwema!
Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi;
Hapo...
Habari wanajamvi
Katika kitabu chake cha "My life,My purpose"ndugu mkapa aliyepata kuwa rais wa Tanzania katika kipindi cha miaka 10(1995-2005) ameelezea katika sura ya 11 aliyoiita "reforms and...
Natoa tu angalizo kwa sababu benki ya dunia wamesema kuanzia mwakani uchumi wa Afrika utayumba sana na upatikanaji wa chakula utakuwa mgumu.
Benki ya dunia wamesema Ulaya bidhaa zimeanza kupanda...
Kuna kila dalili kwamba kwa sasa na katika miaka 10 ijayo ni Chadema peke yake ndio wenye kiu na Katiba mpya.
CCM wao hawafungamani kwao Katiba yoyote ni Heri tu.
Vyama vingine vya upinzani...
Ni jambo la kushangaza Sana, wakati wananchi wa Uingereza wakiandamana na kushinikiza Waziri Mkuu wao, Boris Johnson, ajiuzulu kwa ajili tu ya wafanyakazi wa Ikulu walifanya karamu wakati wa...
Nimesikia viongozi wengi wakiwepo wasomi wengine na PhD zao wakisema wananchi wanataka chakula wanataka maji hawataki Katiba kwa sababu hawatakula katiba. Huu ni upotishaji wa kiwango cha hali ya...
Kulikuwa na uvumi kwamba eti muasisi wa taifa hili Mwalimu Nyerere alitahadharisha kuwa makabila makubwa kama Wahehe, Wanyakyusa, Wasukuma, Wahaya na Wachaga hawafai kutoa Rais wa JMT kwani...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, kwa mujibu wa uwezo aliopewa Chini ya Kifungu cha 119 (1) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais wa Zanzibar na...
Wakuu hi tozo ikiondolewa wakazi wa Kigamboni itawapunguzia Sana Ukali wa Maisha.
Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka Serikali kuondoa tozo za Daraja la Nyerere lililopo...
Ili jamii iweze kuendela inahitaji mambo mengi sana ikiwamo mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Katika kuhakikisha mipango ya mabo mbalimbali inatokea katika uhalisia viongozi wamekuwa wakitoa...
Kwa kifupi;
1. Matokeo ya urais kuruhusiwa kupingwa mahakamani.
2. Mfumo kuruhusu Mgombea binafsi.
3. Kuwepo kigezo cha 50 + 1 kwa mshindi.
4. Kuwe na uwakilishi sawa wa 50/50 kwa jinsia zote...
Kwa kuzingatia usalama wa nchi yetu na usalama wa kuendesha nchi nashauri kama Mama ataridhia mabadiliko ya katiba mambo haya yanafaa kuongezwa tu kwenye katiba iliyo na machache kuondolewa...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa Instagram amekana kuwafahamu wamiliki waendeshaji wa biashara ya QNET
> Soma nukuu niliyoiweka hapa chini!
Nimeona nitoe...
Jumuiya ya Vijana wa chama cha NCCR Mageuzi (JUVIMA) wameitaka Serikali kuwa sikivu kusikiliza matakwa ya muda mrefu ya wananchi wake kuhusu katiba mpya.
Akizungumza makao makuu ya cha hicho...
1. Madarasa, madawati, hospitali, maji ya Samia. Vya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli havisemwi, kana kwamba hawakufanya lolote.
2. Viongozi wengi Uchaguzi 2020 walipitishwa tuu kwa...
Taarifa ya kutoonekana kwa mfanyabishara aliyekuja kubainika kuwa ameuawa ilichukua muda mrefu Sana. Ndugu kwa maelezo Yao walifuatilia suala la ndugu yao ngazi tofauti. Zipo kamati mbili ambazo...
Viongozi wa dini waliotuhumiwa wakiamua kutoa tamko kujibu tuhuma za kuhongwa na bila shaka watafanya hivyo,atakaefaidika zaidi ni Lowassa na UKAWA na hii inaweza kuwa na negative impact kubwa...
As Tanzanians explore structures of government to adopt, I suggest they consider devolution.
Devolution refers to the statutory transfer of powers from the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.