Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,418
Reaction score
39,522
Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.

"Nchi yetu bado ni changa sana hivyo sii busara kuongozwa na wanyoa 'unga'.Tunahitaji damu iliyokomaa kutuongoza". Alisema Mokiwa huku akionekana dhahiri kumlenga mmoja wa watu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi karibuni kupitia kituo kimoja maarufu duniani cha runinga ya idhaa ya Kiswahili.
 
Aaaanh ndio nini sasa askofu mzima kujenga hoja juu ta unyoaji????

juzi tulikuwa harambee kuchangia ununuzi wa gari ya paroko, niliwaeleza wazi natoa pesa yangu lakini gari ni lazima ubavuni iandikwe kwa maandishi makubwa kwamba gari hii ni ya parokia gani ili itambulike, mwenye magendo yake akodi tax ndio aende night club na guest house.

mokiwa hana akili na ndio maana waanglicana wamempiga chini uaskofu mkuu, jacob zuma ananyowa kipara na wasouth wamemwamini, hivi kama msomi wa level ya phd kama mokiwa anakuja na reasoning za kitoto namna hii bora mwanangu nimpeleke veta tu akapate ujuzi. tuna ombwe la wasomi wasioelimika Tanzania.
 
Mkuu ni kuwa tumejua kwa kuchelewa kidogo ila kwa sasa wakae vizuri, heshima watapata kwa matendo yao sio "kiongozi wa dini" basi ndio iwe kama neno la Mungu!!!!

Wapo baadhi wa hovyo tu miongoni mwao!!!!
 
Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.

January-Makamba.jpg
 
Huyu Askofu alituaminisha kuwa JK ni chaguo la Mungu , aombe kwanza radhi ndio asikilizwe ....

tayari Mungu ameshamtendea haki yake waanglicana kwenye siasa zao za kanisa wamempiga chini kwenye uchaguzi wao sasa hivi ni askofu tu waheshima.
 
Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.

Mokiwa aache kanisa aje kwenye siasa, ni aibu kwa askofu na taasisi kubwa anayoingoza kuwa na analysis kama hii. Hivi kuna mahusiano gani kati ya kunyoa na uongozi? Mbona Jacob Juma ananyoa kipara na anaongoza nchi
  • Mbona watu wenye nywele wameghubikwa na ufisadi wa richmond, iptl n.k
  • Sasa akili kuwa ubaguzi na unyanyasaji umeanzia kanisani kwake
 
Askofu alikuwa na maana ya mbali zaidi ya hii, ametumia "Wanyoa Unga" kama kiwakilishi tu katika fasihi.

usidhani sisi hatujakwenda shule, nyinyi ndio walewale kina werema mkibanwa mnadanganya eti mlinukuu vibaya.
 
Namuunga mkono askofu kwa hili.
Naona watu wanakurupuka kumpiga bila kupima kwa undani kauli yake.
Nadhani amehusisha upara na tabia flani flani ambazo si za kiongozi mkuu wa nchi.

askofu wako ndio amekurupa shika adabu yako, mokiwa ni muhuni tu sawa na wahuni wengine ndio maana kanisa la Anglican wamemuweka pembeni si askofu mkuu tena.
 
Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.

"Nchi yetu bado ni changa sana hivyo sii busara kuongozwa na wanyoa 'unga'.Tunahitaji damu iliyokomaa kutuongoza". Alisema Mokiwa huku akionekana dhahiri kumlenga mmoja wa watu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi karibuni kupitia kituo kimoja maarufu duniani cha runinga ya idhaa ya Kiswahili.

Huyu ASkofu si ndo kanisa lake linaongoza kwa ushoga duniani?
 
askofu wako ndio amekurupa shika adabu yako, mokiwa ni muhuni tu sawa na wahuni wengine ndio maana kanisa la Anglican wamemuweka pembeni si askofu mkuu tena.

Mkuu usisahau kuwa wadhamini wa Kanisa la Anglikana ndiyo hao hao wafadhili wa CHADEMA na masharti ni yale yale ya USHOGA.
 
"...akili ni nywele", mbona wanaanza kutuchanganya sasa!?

na kazi ya kichwa siyo kufuga nywele. ila wazembe wasidhani hapa namtetea January makamba lah hasha ni heri nikawe mkimbizi kuliko kutawaliwa na wahuni kama hawa kina makamba.

jeshi letu wakubwa jeshi wameridhika basi kila mtu anadhani anaweza kuwa command inchief, hii nchi ilipaswa kuwa chini ya jeshi kwa angalau miaka mitano ijayo ili tutengeneze katiba ya wananchi kwanza.
 
Askofu alikuwa na maana ya mbali zaidi ya hii, ametumia "Wanyoa Unga" kama kiwakilishi tu katika fasihi.

Nenda bhana kiongozi hatakiwa kuwa na lugha mficho kwenye mambo ya maslahi mapana ya Taifa!!!!!

Anaongoza nani na anamficha nani????!!!!
 
Namuunga mkono askofu kwa hili.
Naona watu wanakurupuka kumpiga bila kupima kwa undani kauli yake.
Nadhani amehusisha upara na tabia flani flani ambazo si za kiongozi mkuu wa nchi.

Huwezi kutenganisha MOKIWA na Dhehebu la ANGLIKANA na huwezi kutenganisha Anglikana na USHOGA, Masharti ya CHADEMA kupewa misaada ni sera ya USHOGA, kuna nini nyuma ya pazia kufuatia kauli ya MOKIWA?
 
Back
Top Bottom