Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,258
Reaction score
138,848
Wakuu,

Aliyekuwa katibu mkuu wa CCM na akashindwa, amekuja na kiroja na kituko.

Eti amemtaka askofu Mokiwa amuombee mwanae January aote nywele kwa maana Mokiwa alitoa tamko kuwa hawatakuwa tayari kuongozwa na wanyoa unga.

Hii kauli inadhihirisha uelewa mdogo wa wanaCCM
 
Katika hali ya kukasirishwa na kitendo cha kauli ya askofu mokiwa ; kusema nchi aitaongozwa na wanyoa unga (watu wenye vipara); mzazi wa januari makamba kwa kutumia tafsida , ya kuwa kipara si ugonjwa au kilema na kama askofu akaona ni ugonjwa au kilema . Amfanyie maombi januari ili nywele ziotea .

Ushauri . Askofu najua kajua kauli yake imemchukiza mzazi . Ni wakati wa kuomba au kufuta kauli yake.
Mambo yaende
 
Para la kunyoa saloon hilo wala asijifanye kumtetea huyo mhuni
 
Katika hali ya kukasirishwa na kitendo cha kauli ya askofu mokiwa ; kusema nchi aitaongozwa na wanyoa unga (watu wenye vipara); mzazi wa januari makamba kwa kutumia tafsida , ya kuwa kipara si ugonjwa au kilema na kama askofu akaona ni ugonjwa au kilema . Amfanyie maombi januari ili nywele ziotea .

Ushauri . Askofu najua kajua kauli yake imemchukiza mzazi . Ni wakati wa kuomba au kufuta kauli yake.
Mambo yaende

Asikofu aombe au kufuta kauli kwa kosa lipi. Mtu unapotangaza nia ya kufanya jambo fualani hata kama ni kuoa, kununua gari, kujenga nyumbani au kuingia vitani unataka kupima jamii inakuonaje ili uweze kujipima kama maamuzi yako ni sahihi. .Sasa inakuwaje mtu atangaee nia halafu awafunge watu midono wasiseme wanavyomwona kama analingana na aina ya jambo analikusudia kutenda.
 
kauli ya Mokiwa ni ya kibaguzi na haikufaa kutolewa na kiongozi wa kidini

Kwani Nywele za January zimenyonyoka zenyewe hadi aombewe ili ziote ? Kama kanyoa saloon basi aache ziote Maana inaelekea baba yake anadhani mwanae atakuwa Rais ndio Maana ameanza kukomaa mapema.
 
Makamba atakuwa bize na tunguli ili mwanawe apate Urais...ni hivi nchi hii haitaongozwa na muislamu tena na hasa kama anayoa upara ndo kabisaaaa

Du ! Hii Kali umejuaje Kama Mzee makamba ni muumini wa Tunguli ? Thibitisha tuone kisha hapo kwenye Udini pamekaaje? Awamu ya kwanza Rais alitoka Tanganyika,ya pili akatoka Zenji,tatu akatoka Tanganyika na awamu ya Nne Tanganyika ,Sasa ni Zamu ya Zanzibar Kutoa Rais Uisilamu hauepukiki na kama ikishindikana Zenji Rais lazima awe Mmasai wanasema Sokoine aliishia Kuwa Waziri Mkuu tu,Pia Sumaye na Lowasa wanashukulu hivyo vyeo lakini wanata Rais sasa atoke Umasaini Mzee Makamba jiandae kupambana na Wazanzibar na wamasai .
 
Katika hali ya kukasirishwa na kitendo cha kauli ya askofu mokiwa ; kusema nchi aitaongozwa na wanyoa unga (watu wenye vipara); mzazi wa januari makamba kwa kutumia tafsida , ya kuwa kipara si ugonjwa au kilema na kama askofu akaona ni ugonjwa au kilema . Amfanyie maombi januari ili nywele ziotea .

Ushauri . Askofu najua kajua kauli yake imemchukiza mzazi . Ni wakati wa kuomba au kufuta kauli yake.
Mambo yaende

nimeamini CCM wagumu kuelewa, ama ni maksudi au uelewa wao ni mdogo, hivi unadhani Mokiwa anazungumzia ''kipara'' cha kuzaliwa au salon, Askofu ametumia ''unga'' kumaanisha vijana wahuni, indecent, walevi kama Makamba, masela, vitombi kuongoza nchi
 
Uko sawa Makamba jr ni mlevi wa kila kitu na muhuni.
 
Makamba atakuwa bize na tunguli ili mwanawe apate Urais...ni hivi nchi hii haitaongozwa na muislamu tena na hasa kama anayoa upara ndo kabisaaaa

Huu ni msimamo wako binafsi na hauwakilishi mawazo ya wakristu wengine. Tupo tayari kuongozwa na waislam hata kumi wafuatane ila wajue hawakuchaguliwa kuwafanyia kazi waislam bali Watanzania wote.
 
Asikofu aombe au kufuta kauli kwa kosa lipi. Mtu unapotangaza nia ya kufanya jambo fualani hata kama ni kuoa, kununua gari, kujenga nyumbani au kuingia vitani unataka kupima jamii inakuonaje ili uweze kujipima kama maamuzi yako ni sahihi. .Sasa inakuwaje mtu atangaee nia halafu awafunge watu midono wasiseme wanavyomwona kama analingana na aina ya jambo analikusudia kutenda.
askofu upeo wake Ni mdogo mno
 
Hapana Si Uelewa Mdogo Bali Askofu Angetoa Hoja Zilizo Wazi Mbona Africa 2na Marais Wanaonyoa Kipara Kabisa.
 
Mokiwa naona ni mjinga flani tu, kunyoa kipara kuna tatizo gani? ana mawazo ya kipmbavu tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom