Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa? Sasa ubunge wa Viti Maalum wa nini tena?
8 Reactions
80 Replies
8K Views
Katibu mkuu Wizara ya maji Anthony Sanga imezitaka Mamlaka za maji nchini kuhakikisha ifikapo 2025 lazima huduma ya maji iwe imefika mijini kwa asilimia 95 na vijijini kwa asilimia 85 kutokana na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa sababu za kijografia , Wilaya hii imekuwa na changamoto ya kufikika kwa urahisi na hivyo kwa miaka mingi wakazi wake wamekuwa wakitumia huduma ya kivuko cha ferry au kutumia njia ya Barabara...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
VETA, NACTE na TCU ni vyombo ndani ya wizara hii. Kulikuwa na malalamiko na matukio ya wanafunzi kunyanyaswa kingono. UDOM na Uhasibu Arusha vimekuwa ni mfano wa wazi. Hata hivyo hatujasikia...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Mhe Rais wavumilie wenye Dola, wakumbushe umuhimu wa wao wenyewe kuwa na wivu dhidi ya vyombo vyao, usiendelee kuwateua, waelekeze wazifanyie mabadiliko sheria zao, waunde waweze kujisimamia...
25 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa nini mjadala wa Katiba ni muhimu?Sababu ni kuwa. 1.Hii ya 1977 iliandikwa ili kuuimarisha mfumo wa siasa za Chama kimoja na ililenga kukifanya chama cha Siasa kuwa juu ya hata Mihimili ya...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana. Mimi...
18 Reactions
50 Replies
4K Views
Omar Ramadhani Mapuri ni mwanasiasa ambaye alikuwa ni balozi wa Tanzania nchini China kabla ya balozi wa sasa Philip Marmo. Napenda kujua yuko wapi hivi sasa mwanasiasa huyu?
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico. Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico '...
25 Reactions
79 Replies
7K Views
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Machi 24, 2022: “Tutashirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uzalishaji wa mbegu za mazao mbalimbali, ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni ushauri tu. Kwa muda mrefu chama kilikuwa busy na kesi ya mwenyekiti kwahiyo hakikuweza kufanya siasa ipasavyo. Nadhani badala ya kila wanapopata fursa ya kuongea na Media basi Mwenyekiti...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wanabodi Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa 1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na...
15 Reactions
94 Replies
8K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2021/2022 na bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023...
0 Reactions
1 Replies
644 Views
Tunaambiwa kwamba Kilimo kinafanywa na asilimia 70 ya watanzania wote. Serikali ilitenga bilioni 101 kama bajeti ya maendeleo lakini ilitoa shilingi bilioni tatu point nne! Kwa hesabu za...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwema! Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi; Hapo...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Katika kitabu chake cha "My life,My purpose"ndugu mkapa aliyepata kuwa rais wa Tanzania katika kipindi cha miaka 10(1995-2005) ameelezea katika sura ya 11 aliyoiita "reforms and...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Natoa tu angalizo kwa sababu benki ya dunia wamesema kuanzia mwakani uchumi wa Afrika utayumba sana na upatikanaji wa chakula utakuwa mgumu. Benki ya dunia wamesema Ulaya bidhaa zimeanza kupanda...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna kila dalili kwamba kwa sasa na katika miaka 10 ijayo ni Chadema peke yake ndio wenye kiu na Katiba mpya. CCM wao hawafungamani kwao Katiba yoyote ni Heri tu. Vyama vingine vya upinzani...
1 Reactions
14 Replies
970 Views
Ni jambo la kushangaza Sana, wakati wananchi wa Uingereza wakiandamana na kushinikiza Waziri Mkuu wao, Boris Johnson, ajiuzulu kwa ajili tu ya wafanyakazi wa Ikulu walifanya karamu wakati wa...
18 Reactions
102 Replies
6K Views
Back
Top Bottom