Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) Leo Jumatano Machi 16, 2022 imeingia makubaliano ya kibiashara na kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara yenye lengo la...
3 Reactions
72 Replies
6K Views
Kuanzia TRA kumbe mpaka TANROADS ni Mzee Mkapa ( RIP) alianzisha, sasa wengine miaka 10 walikuwa wanafanya nini Ikulu ? Angalau Mzee Mwinyi miaka 10 alipiga kazi pia, alifanya mengi sana...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeona luninga Waziri Makamba akitamba kuwa Tanzania itafanywa kuwa kituo kikubwa cha usambazaji mafuta. Mimi nikifikiri serikali itafufua kiwanda cha refinery cha TIPER, kumbe sivyo. TIPER...
24 Reactions
117 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Alhamisi Machi 24, 2022 alikuwa Mgeni rasmi kwenye Ufunguzi wa maonyesho makubwa ya Viwanda vinavyozalisha Nishati...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya kigaidi. Aliyasema hayo jana alipomwakilisha Rais Samia Suluhu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja? Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika...
9 Reactions
132 Replies
10K Views
Hello guys, Taarifa iliyopo na ya kweli ni kwamba ofisi za Tanroad Moshi karibu na idara ya maji inawaka Moto kwa takribani 3 hrs Sasa fire wameshindwa kuzima,kwa kukosa vifaa na magari...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kamishna Mkuu wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee alimuomba Rais Samia kutoa msamaha kwa wafunga ili kupunguza msongamano wa wafungwa magerezani. Katika kujibu hilo amesema misamaha ya...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kumbuka madaraka uliyo nayo sasa kwa mujibu wa katiba kuna watu hawakupendezwa uwe nayo. Kama ujuavyo, watu hao wala si wa upinzani bali wa kijani wenzako. Walisema waswahili kikulacho ki nguoni...
26 Reactions
103 Replies
6K Views
Tujadili upatikanaji wa Mwanasheria Mkuu (Attorney General) wa serikali ya Tanzania Ofisi ya Mwanashera Mkuu wa Serikali Tanzania inatajwa kuwa ni taasisi inayojitegemea ndani ya Wizara ya Katiba...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Wale vijana bora na tegemeo la Taifa wanaoitwa Bavicha , leo wameendesha kongamano kabambe la Katiba Mpya kwenye Jimbo la Buchosa , ambapo viongozi mbali mbali wametoa mada kuhusu umuhimu wa...
19 Reactions
44 Replies
3K Views
Wasalaamu wanaJF, Ni kawaida yangu kuleta kwenu hoja za kizalendo na kuwaachia mfikiri kwa kina, kwa haraka na kwa muda mrefu. Hoja zangu hizi huwa hazina mvuto wa kisanaa bali kisayansi. Swali...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa sababu tumeshindwa kusikilizana ndio maana hatuendelei. Kwa muda mrefu, tumekuwa tukishindwa kutatua mizizi ya matatizo yetu. Tumeshindwa kutatua vyanzo vya matatizo yetu. Taifa kiujumla na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Sina hakika kama Mwalimu Nyerere aliyasema haya kumfagilia mzee Mtei au ndio unabii utakaoenda kutimia. Nyerere aliyasema haya wakati NCCR Mageuzi kikiwa ndio chama pendwa cha wapinzani wote...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ndio hii juu ya sakata ya kesi ya Makonda. DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya...
1 Reactions
8 Replies
989 Views
Serikali imepewa siku 45 na Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) kujibu madai ya vyama vinane vya upinzani vinavyopinga Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya siasa, baada ya vyama hivyo kufungua kesi...
2 Reactions
104 Replies
12K Views
Leo katika press conference yake Steve Nyerere ambaye ni kada wa CCM alijadili mambo mawili ya msingi na kudhibitisha kwamba Tume Huru ya ya uchaguzi haipingiki. 1. Kwanza kahoji kama Mbunge wa...
18 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari Member's JamiiForums Tuyasemayo ni yale tunayoyaona. Tuyasikiayo ni yale Yasemwayo na Jamii. Mnautumia muda mwingi sana mkicheza rafu kwa wenzenu. Wakati nyie mkitumia misafara na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa bajeti ya mwaka wa fedha 2022/23 wameongeza fedha kwa majeshi ya Ulinzi na Usalama ili wapunguze muda wanaotumia kushughulika na shughuli za uzalishaji. Rais...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
“Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom